Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,286
- 39,418
Haya sasa mambo yanazidi kuwa mengi then muda mchache raha ya hii dunia uwe mtabe. Marekani ni taifa ambalo ni wezi, vibaka, waporaji, majambazi bila kusahau maovu na uchafu wao kwenye hii dunia.
Putin ameionya marekani kuachana na uwizi wao wa mafuta pale Syria mara moja pamoja na mambo yao ya kiuhalifu wanayofanya. Hili la ulinzi wa mali za Syrians litakua chini ya Russia, Iran na turkey sasa wanaume wameongea wameshatoa tamko tunasubiri utekelezaji.
Tukumbuke pia kule libya Marekani analalamikiwa kwa kuiba mafuta ya walibya bado nchi nyingine nyingi wanachukua madini kama dhahabu, almas nknk.