Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,286
- 39,418
- Thread starter
- #21
Hakuna, sehemu Russia imeionya USA. Muandika threads muongo na hajui lugha
Unateseka ukiwa wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna, sehemu Russia imeionya USA. Muandika threads muongo na hajui lugha
Putin anabweka tu kuhusu syria,usa miaka sasa eneo lenye mafuta liko chini yake,eneo ambalo mrusi amelishikilia kama latakia na tartusi kupata lita 20 tu ya petrol au diesel usubirie wiki nzima na hilo eneo hata umeme hamna
Hakuna, sehemu Russia imeionya USA. Muandika threads muongo na hajui lugha
Marekani anajulikana kwa wengi kama mbabe wa Dunia
Ila na sisi wengine tunamjua kama jizi la dunia
Nchi haiendi bila wizi
Onyo liko wapi mbona sijaona!
Huyu ni jinsia ya tatuJinsia yako tufahamu
Mfadhiĺi au mwizi wa mafuta. America the chief thief of the worldBila Marekani Ni ngumu Sana Syria kupata amani.
Kwa namna yoyote Ni lazima Marekani iombwe kwa upole katika meza ya mzunguko Kwamba bamkubwa tunakushukuru kwa hiduma yako. Tunaomba uendee.
Akielewa Marekani basi Syria hats usiku wa leo kutakuwa na amani.
Marekani ndie mfadhili was ISis, alnusra, FSA na makundi mengine mengi yaliyo dhidi ya Leutenant general Assad
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Za mwizi ni arobaini muda wa kumkamata umekaribia lazima ashughulikiwe.Na mwizi mwisho wake ni mbaya, ndio haya tunayashuhudia yakitokea. Puttin, hili jamaa lina akili sana.
Kuna kipindi nilikua around medditranian ocean,amin ninachokuambiaDu! kuna watu wanajua kupenda mpaka kero
Na mwizi mwisho wake ni mbaya, ndio haya tunayashuhudia yakitokea. Puttin, hili jamaa lina akili sana.
Hakuna muda dunia haikuwa na superpower na hakuna superpower haexploit kwa mataifa dhaifu Buda!!! Anza na greece, Romans etc. So Kama una nguvu unavuna huku unaleta maendeleo kwa nchi yako... Si unaona hata kagame hapo Congo? Kwa hiyo Kama huna nguvu wanakutafuniaPutin ni genius Ndio maana aliongoza KGB enzi hizo
Amerudia u Rais na waziri Mkuu pia
Wazungu wanajua fika walivyoitendea dunia kwa mipango yao miovu
Halafu mabilionea wa Kirusi wanapewa Uraia na wazungu ili hela ziwekwe Ulaya
Uingereza wamepokea warusi kwa kuwapa uraia tena fast track inayoitwa Golden Visa
Yaani wizi tu
Na Putin anawafuata huku huku na kuwamaliza
Hakuna muda dunia haikuwa na superpower na hakuna superpower haexploit kwa mataifa dhaifu Buda!!! Anza na greece, Romans etc. So Kama una nguvu unavuna huku unaleta maendeleo kwa nchi yako... Si unaona hata kagame hapo Congo? Kwa hiyo Kama huna nguvu wanakutafunia
Hizo zinaitwa dua za kuku, hata ikianguka marekani ataibuka mwingine atafanya hayo hayo wewe omba iwe nchi yako Basi!! Kama haitakuwa nchi yako umikwisha na utalalamika tu mpaka kiama, huyo Germani hawezi kuiba kokote alishakatwa mkia wakati wa Hitler japo naye alikuwa ni walewale.Ila yana mwisho mbaya tu Greece hoi
Ila angalia German wao wamejikita kwenye maendeleo zaidi na nchi yao utashangaa technology wako mbali sana na wanaishi vizuri tu bila wizi
Wengine ni Netherlands [emoji1179] wanasifiwa kwa ujenzi na hata technology wanamuacha Muingereza kwa mbali sana
Ingawa [emoji636] tunatamba kuwa tuliwahi kuwa wababe enzi ila kwa sasa tupo tu na maisha yanaenda
Siipondi Uk hasha ni home ila hawawafikii majirani kwa mengi sana
Huwa natembelea majirani kwa Kweli wako vizuri sana
Ila USA yeye ni kibaka akiona vita sehemu au aianzishe kwa maslahi yake tu
Mchina ndio baba lao sasa anabana mpaka USA kwa hela zake
View attachment 2297806
Hizo zinaitwa dua za kuku, hata ikianguka marekani ataibuka mwingine atafanya hayo hayo wewe omba iwe nchi yako Basi!! Kama haitakuwa nchi yako umikwisha na utalalamika tu mpaka kiama, huyo Germani hawezi kuiba kokote alishakatwa mkia wakati wa Hitler japo naye alikuwa ni walewale.
Wewe hujiulizi kwa Nini alikuja kutuulia machifu wetu huku? Ukiwa na nguvu Raha Sana......! Hata huyo Russia unadhani anasaidia madikteta kwa kuwa anawapenda Sana? La hasha because she want to exploit as US does...Ila uwezo Hana!!
Kuna kipindi nilikua around medditranian ocean,amin ninachokuambia