Rais Putin aionya Marekani dhidi ya Syria

Rais Putin aionya Marekani dhidi ya Syria

Ww3 around the corner.
Watakuwa makini sana, kwa kuwa deep down in their hearts - they know for certain kwamba thermonuclear XChange hapata patikana mshindi kwa maneno mengine wote watatangulia mbele ya haki , ingawa wengine will not even get enough time to repent their sins before joining their MAKER up above.

Woga huo ndio utainusuru Dunia ie kuogopana kutumia makombora yaliyo sheheni thermonuclear payload - hakuna kiongozi mwenye akili timamu anaweza ku-risk Taifa lake na raia wake akawa na ujasiri wa kujitolea kuwa wa kwanza kutumia silaha za nyuklia kuwashambulia wenzake - hayupo.
Superpower Nations wataishia kutuniana tuniana misuli tu, basi.
 
Yani katika mkoa ambao Vita haijagusa kabisa ni LATAKIA.Sasa umeme unakosaje ndugu kama sio uwongo uwo
Screenshot_20220720-195622_Chrome.jpg

Nakupa reallity wewe unaleta story za vijiwe vya kahawa
 
Turkey ni mshirika asiye aminika yupo kama popo.

Kifupi turkey haaminiki kwa nchi za kibepali, bendera fuata upepo

Sent from my itel W4001P using JamiiForums mobile app
Huyo turkey kwenda nato ni kama kalazimishwa tu ili nchi za magharibi zimtumie kwa ajili ya kuwaunganisha na nchi za ki islam.. lakini kihalisia turkey anapenda sana east ideology (anapenda aka karibu na urusi wakati wote)
 
2024 Trump anarudi madarakani na watakaa meza moja na Putin/Medvedev
Huyo Trump ndo alitaka majeshi ya Marekani yake Syria yalinde mafuta
"We're keeping the oil," Trump said Monday to a conference of police chiefs in Chicago. "I've always said that -- keep the oil. We want to keep the oil, $45 million a month. Keep the oil. We've secured the oil."

We should be able to take some also, and what I intend to do, perhaps, is make a deal with an ExxonMobil or one of our great companies to go in there and do it properly," he added.
 
Hii ni kama yule baba mlevi, mnyanyasaji na mbabe kwa watoto wake alafu baadae anazeeka na kuisha nguvu na watoto wake washakua na kuwa na nguvu alafu watoto wanaanza kutawala nyumba na kulipiza mabaya
Huku mzee akiwa hana cha kufanya na inabidi awe mpole au ale kichapo sababu amechoka na nguvu hana tena wakati watoto wamekuwa milima iliyopanda na nguvu za kutosha.

Marekani ameshazeeka na nguvu zake zimeisha na kila mtu anajitawala mwenyewe.
 
Back
Top Bottom