Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Katika maisha ya kawaida, ukiona mtu anatoa vitisho vingi, basi ujue mtu huyo hana au ana uwezo mdogo wa kumkabili adui au mpinzani wake na hii hutokea mitaani na hata mashuleni katika ngumi za kawaida.
Vitisho mara nyingi hutumika kwa lengo la kumuogopesha mpinzani au adui asianzishe mapambano kwasababu mtoa vitisho anajua mpambano ukianza, hatoweza kumshinda adui au mpinzani wake, hivyo ni bora kujihami kwa kuhakikisha mapambano hayayokei na hiki ndio anachokifanya Puttin.
Ukitokea, mpambano utachukua muda mrefu tofauti na tulivyoona kwa kina Saddam na wengine, ila mwisho wa siku Russia atashindwa bila kujadili Marekani ataingia pekee yake au na washirika wake wa NATO.
Mbali na teknolojia, uwezo wa kiuchumi katika vita ni moja ya factor muhimu katika kuamua mshindi wa vita, na uchumi wa Russia sio wa kuulinganisha na ule wa Marekani na washirika wake wa Ulaya wa Magharibi.
Vile vile, Marekani na Ulaya, wataanza kuiwekea vikwazo Russia kama njia ya awali ya kuidhooifisha kiuchumi kabla ya kuingia katika vita halisi iwapo watafika huko.
Puttin anawaza makombora na zana zake zingine za kijeshi, ila wenzake wana-consider all other factors na kujipanga vilivyo kabila hawajaingia katika uwanja wa vita.
Hata kama vita isipotokea, wamerekani kwa kushirikisha na mataifa ya Ulaya, watafanya kila njama kumuondoa Puttin kwani kwa ssaa ni tishio kwao na hawatakubali aendelee kubaki madarakani.
Time will tell.