Katika maisha ya kawaida, ukiona mtu anatoa vitisho vingi, bai ujue mtu huyo hana au ana uwezo mdogo wa kumkabili adui au mpinzani wake na hii ni katika hata ngumi za mitaani au mashuleni.
Vitisho mara nyingi hutumika kwa lengo la kumuogopesha mpinzani au adui asianzishe mapambano kwasababu mtoa vitisho anajua mpambano ukianza hatoweza kumshinda adui au mpinzani wake hivyo ni bora kujihami kwa kuhakikisha mapambano hayayokei na hiki ndio anachokifanya Puttin.
Mpambano utachukua muda tofauti na tulivyoona kwa kina Saddam na wengine ila mwisho wa siku Russia atashindwa bila kujadili Marekani ataingia pekee yake au na washirika wake wa NATO.
Mbali na teknolojia, uwezo wa kiuchumi katika vita ni moja ya factor muhimu katika kuamua mshindi wa vita na uchumi wa Russia sio wa kuulinganisha na ule wa Marekani na washirika wake wa Ulaya.
Vile vile Marekani na Ulaya wataanza kuiwekea vikwazo Russia kama njia ya awali ya kuidhooifisha kiuchumi kabla ya kuingia katika vita halisi iwapo watafika huko.
Puttin anawaza makombora na zana zake za kijeshi wenzake wana-consider all factors na kujipanga kabila hawajaingia katika uwanja wa vita.
Hata kama vita isipotokea, wamerekani kwa kushirikisha na mataifa ya Ulaya, watafanya lila njema kumuondoa Puttin kwani kwa ssaa ni tishio kwao na hawatakubali aendelee kubaki madarakani.
Time will tell.