Rais Putin amejaa vitisho na mikwara ila hatoweza kuwashinda Wamarekani

Rais Putin amejaa vitisho na mikwara ila hatoweza kuwashinda Wamarekani

20220224_161006.jpg
20220224_160955.jpg
 
Putin lengo lake ni kumpindua Rais wa Ukraine aliekuwepo na kuweka puppet wake .Urusi wanataka kuweka Rais mpya Ukraine atakaefuata maagizo ya Putin.
Alikuwepo kabla ukraine na Russia walikuwa marafiki. [emoji16][emoji16]CIA wakampindua hiyo 2014,na marekani akaweka kibaraka wake , mrusi akashituka sasa anaingiliwa , akakamata Crimea,, maana hapo kulikua na Navy base kubwa ya mrusi. Na Walihofia Rais mpya atawafukuza maana alikuwa anapokea amri toka marekani.
Hapo ndo kuelewana kati ya ukraine na Russia kukafikia mwisho,
Uchaguzi uliofuata akaingia Rais Zelensky,, huyu slikua mchekeshaji wa TV kama akina Masanja mkandamizaji vile huyu akawa karibu zaidi na marekani na akaomba ukraine ijiunge na EU na pia NATO,
Big mistake
 
Hao akina Bush mbona alishawapiga matukio?
Ulikua ahule ya msingi Nini?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] siwezi kusema ni mkubwa sana lakini nilikuwa nipo ila nataka nikwambie mrusi hawezi gusa marekani hata kidogo..... ninachokiona hapo swala la haki za binadamu maana watakufa watu wasio na hatia na unapotaka kuanzisha vita inabidi roho mbaya vbaya sasa Mzee Biden yule mambo Hayo Hayawezi...... hii ngoma kuna watu wangicheza vyema na mapema hata asingeingia huko mrusi ila sasa unaona diplomasia imeshika hatamu na muda ukifika utaona kichapo kinatembea
 
Katika maisha ya kawaida, ukiona mtu anatoa vitisho vingi, bai ujue mtu huyo hana au ana uwezo mdogo wa kumkabili adui au mpinzani wake na hii ni katika hata ngumi za mitaani au mashuleni.

Vitisho mara nyingi hutumika kwa lengo la kumuogopesha mpinzani au adui asianzishe mapambano kwasababu mtoa vitisho anajua mpambano ukianza hatoweza kumshinda adui au mpinzani wake hivyo ni bora kujihami kwa kuhakikisha mapambano hayayokei na hiki ndio anachokifanya Puttin.

Mpambano utachukua muda tofauti na tulivyoona kwa kina Saddam na wengine ila mwisho wa siku Russia atashindwa bila kujadili Marekani ataingia pekee yake au na washirika wake wa NATO.

Mbali na teknolojia, uwezo wa kiuchumi katika vita ni moja ya factor muhimu katika kuamua mshindi wa vita na uchumi wa Russia sio wa kuulinganisha na ule wa Marekani na washirika wake wa Ulaya.

Vile vile Marekani na Ulaya wataanza kuiwekea vikwazo Russia kama njia ya awali ya kuidhooifisha kiuchumi kabla ya kuingia katika vita halisi iwapo watafika huko.

Puttin anawaza makombora na zana zake za kijeshi wenzake wana-consider all factors na kujipanga kabila hawajaingia katika uwanja wa vita.

Hata kama vita isipotokea, wamerekani kwa kushirikisha na mataifa ya Ulaya, watafanya lila njema kumuondoa Puttin kwani kwa ssaa ni tishio kwao na hawatakubali aendelee kubaki madarakani.

Time will tell.
Mwenzako kashakandamiza anga ya ukraine hakuna ndege yoyote inayoweza kuruka isithibitiwe na tayari watu saba wamepoteza maisha na ukraine analialia hajajibu chochote
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] siwezi kusema ni mkubwa sana lakini nilikuwa nipo ila nataka nikwambie mrusi hawezi gusa marekani hata kidogo..... ninachokiona hapo swala la haki za binadamu maana watakufa watu wasio na hatia na unapotaka kuanzisha vita inabidi roho mbaya vbaya sasa Mzee Biden yule mambo Hayo Hayawezi...... hii ngoma kuna watu wangicheza vyema na mapema hata asingeingia huko mrusi ila sasa unaona diplomasia imeshika hatamu na muda ukifika utaona kichapo kinatembea
Aliyeomba makombora ya urusi(USSR) yaondolewe Cuba ni nan!?
Mpaka leo Cuba imebaki kuwa communist licha ya kuwa pua na mdomo na marekani
Urusi huwa sio wa kujaribu kwenye vita watakushangaza kama walivomshangaza hitler!
 
Alikuwepo kabla ukraine na Russia walikuwa marafiki. [emoji16][emoji16]CIA wakampindua hiyo 2014,na marekani akaweka kibaraka wake , mrusi akashituka sasa anaingiliwa , akakamata Crimea,, maana hapo kulikua na Navy base kubwa ya mrusi. Na Walihofia Rais mpya atawafukuza maana alikuwa anapokea amri toka marekani.
Hapo ndo kuelewana kati ya ukraine na Russia kukafikia mwisho,
Uchaguzi uliofuata akaingia Rais Zelensky,, huyu slikua mchekeshaji wa TV kama akina Masanja mkandamizaji vile huyu akawa karibu zaidi na marekani na akaomba ukraine ijiunge na EU na pia NATO,
Big mistake
Ila point ni kuwa hajakubaliwa kuingia NATO. Still Putin anavamia Kiev lengo ni kuweka kibaraka wake .
 
Kwa offensive anayofanya Russia na vifaa vya Ukraine ambavyo vimeharibiwa hii vita haitozidi siku 4. Ki ufupi airpower ya Russia balaaa mamaee, ma cruise missiles yanapaaa balaa.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
2020 Mchina alituchagulia maisha ya dunia kujifungia na kunawa mikono hadi leo.
Na sasa Putin ameamua aharibu uchumi wa dunia.
Yetu macho na sala
hakika mkuu watu wanadhani hii ni game au movie za rambo
hii ni really na ATHARI zake ni dunia kwa ujumla
kwa uchache tayari athari zishaanza ukingalia utaona mashirika ya ndege yashaanza kupata hasara kwa kukwepa anga la Ukraine hvyo kupita ruti ndefu ambapo kimtazamo utaona ni namna gani hasara inazarishwa

Vita kwa wababe wa dunia ni hatari kwa AFYA ya dunia inapaswa mazungumzo ya mezani yafanyike mara 1 kuweka mizania sawa 7bu vita inayotaka kuazishwa haitamuacha mtu yoyote salama hata huwe matajiri kitanuka tu 7bu kombora halichagui na halina macho linabutua tu likielekezwa sehemu husika

VITA siyo nzuri
 
[emoji16][emoji16]
20220224_143117.jpg
 
Attachments

  • 255745743066_status_582078921f794a91a658ebf56d5ad767.jpg
    255745743066_status_582078921f794a91a658ebf56d5ad767.jpg
    27.7 KB · Views: 16
Mwenzako kashakandamiza anga ya ukraine hakuna ndege yoyote inayoweza kuruka isithibitiwe na tayari watu saba wamepoteza maisha na ukraine analialia hajajibu chochote
Huo wote ni mkwara tu ila mpambano ukianza(kama watafika huko) baada ya muda ndio tutajua nani ni nani.
 
Wewe akili hauna, mtu amesha vamiwa uko na kipigo kimeanza kutolewa

Usifananishe Ukraine na Iraq ndg.Marekani aliivamia Iraq baada ya kua amehakikisha S.Hussein hana chochote cha kuwasumbua.Kumbuka Marekani alikua ashaingia Iraq muda tu tofauti na hali tunayoishuhudia kwa sasa kati ya Urusi na Ukraine.
Mjomba waambie wapige. Marekani marekani mwanaume kashadindiisha huko. Muda wa porojo ulishapita.
 
Na huyu bahati yake kakutana na wazee hawa Wapole!!!! Angekutana bush na hakika mpaka dakika hii asingekanyaga iyo ardhi ya Ukraine
Kwani anaepigana ni bush au jeshi. Kumbukeni marekani ni taifa na pale sio Syria. .
 
Back
Top Bottom