Rais Putin amejaa vitisho na mikwara ila hatoweza kuwashinda Wamarekani

Rais Putin amejaa vitisho na mikwara ila hatoweza kuwashinda Wamarekani

Huo wote ni mkwara tu ila mpambano ukianza(kama watafika huko) baada ya muda ndio tutajua nani ni nani.
Kiev airport under Russia control
Mojoojo

2m

What just happened on the CNN live coverage was absolutely surreal. CNN Crew drove to Antonov airport (30 mins from Kiev) expecting to find Ukrainian forces only to be greeted by Russian paratroopers. Reporter conversed with the commander and didn't realize for several minutes that they were in fact Russians occupying the airfield. The Russian squad had just minutes prior taken fire from Ukrainian forces, CNN cut the feed after hearing jets overhead.

Link
 
[emoji187] Vladimir Putin: Over the past 30 years we have been patiently trying to come to an agreement with nato regarding the principles of equal and indivisible security in Europe.

[emoji3516] In response, we faced either cynical deception and lies or attempts at pressure and blackmail. https://t.co/vzajHJt94Z
 
Russian Defense Ministry: As a result of Russian attacks, 74 ground targets of Ukraine's military infrastructure were deactivated, including 11 air force airports, 3 command posts, a naval base and 18 radar stations of the S-300 and Buk-M1 defense systems. It has suffered heavy casualties from Russian airstrikes on dozens of targets
FMXk1r_XEAQCVXu.jpg
 
Reports from Advisor to the Ukrainian Interior Ministry that Russian armed forces entered the Chernobyl Nuclear Plant zone and that fighting has broken out leading to the destruction of a nuclear waste storage facility.

#Ukraine #Russia
[Knish]
 
Putin lengo lake ni kumpindua Rais wa Ukraine aliekuwepo na kuweka puppet wake .Urusi wanataka kuweka Rais mpya Ukraine atakaefuata maagizo ya Putin.
Kww hiyo ni sahihi US nae kupindua na kuweka maraisi wake?
 
Putin mjinga, angekua na akili angeanza vita ya maneno kwanza shida yake anaamini ana mipango madhubuti dhidi ya wenzake akishindwa kujua kua akili ya wenzake inawaza nini
 
Katika maisha ya kawaida, ukiona mtu anatoa vitisho vingi, bai ujue mtu huyo hana au ana uwezo mdogo wa kumkabili adui au mpinzani wake na hii ni katika hata ngumi za mitaani au mashuleni.

Vitisho mara nyingi hutumika kwa lengo la kumuogopesha mpinzani au adui asianzishe mapambano kwasababu mtoa vitisho anajua mpambano ukianza hatoweza kumshinda adui au mpinzani wake hivyo ni bora kujihami kwa kuhakikisha mapambano hayayokei na hiki ndio anachokifanya Puttin.

Mpambano utachukua muda mrefu tofauti na tulivyoona kwa kina Saddam na wengine, ila mwisho wa siku Russia atashindwa bila kujadili Marekani ataingia pekee yake au na washirika wake wa NATO.

Mbali na teknolojia, uwezo wa kiuchumi katika vita ni moja ya factor muhimu katika kuamua mshindi wa vita na uchumi wa Russia sio wa kuulinganisha na ule wa Marekani na washirika wake wa Ulaya.

Vile vile Marekani na Ulaya wataanza kuiwekea vikwazo Russia kama njia ya awali ya kuidhooifisha kiuchumi kabla ya kuingia katika vita halisi iwapo watafika huko.

Puttin anawaza makombora na zana zake zingine za kijeshi ila wenzake wana-consider all other factors na kujipanga kabila hawajaingia katika uwanja wa vita.

Hata kama vita isipotokea, wamerekani kwa kushirikisha na mataifa ya Ulaya, watafanya kila njama kumuondoa Puttin kwani kwa ssaa ni tishio kwao na hawatakubali aendelee kubaki madarakani.

Time will tell.
.
Screenshot_20220224-182447.jpg
Screenshot_20220224-173838.jpg
 
Labda hujui,, Russia ana silaha kali kuzidi US hasa makombora,,
Marekani wao wana ndege kali kuzidi Russia, yaani for show,, lakini kwenye utendaji kazi, ndege za Russia zina firepower kubwa kuliko ndege za marekani,
Hata ukicheki performance ya ndege za mrusi syria ndo ziliwakalisha chini ISIS,
Marekani wanaweza kufanya mashambulizi sort 30 per day,
Mrusi yeye alikuwa anapeleka hadi sorties 100 kwa siku huko syria,, na hapo marekani anatumia hadi ndege ziko katika aircraft carrier,
Ndege ya mrusi ilikua inaweza kunyanyuka Russia na kuachia kombora ikiwa huko huko anga la Russia, na kombora likaja kupiga syria,, umbali wa kama km 5000

Umeeleweka Waziri wa Ulinzi wa Russia na Marekani
 
Putin mjinga, angekua na akili angeanza vita ya maneno kwanza shida yake anaamini ana mipango madhubuti dhidi ya wenzake akishindwa kujua kua akili ya wenzake inawaza nini
Mwenzio Putin anapokea hata taarifa za kiinterejensia kutoka Marekan anajua nguvu na uwezo wa siraha za Marekan china North korea maana some of them pia kawauzia technology kwamba wewe unajua sana kuliko Putin
 
Russian Defense Ministry: As a result of Russian attacks, 74 ground targets of Ukraine's military infrastructure were deactivated, including 11 air force airports, 3 command posts, a naval base and 18 radar stations of the S-300 and Buk-M1 defense systems. It has suffered heavy casualties from Russian airstrikes on dozens of targetsView attachment 2129843
Ijapokuwa Ukraine kwa kiasi anajitahidi kujibu mapigo ila ana wakati mgumu sana. Urusi imeshambulia kambi zake silaha nyingi zimeteketea, amedhibitiwa kwenye anga, Urusi inateka uwanja wa ndege in case hivyo hatapokea msaada wowote. Na maeneo mengi yanaendelea kuwa chini ya Mrusi.

Ngoja tuangalie hali itaendelea kuwaje!
 
Vitisho my foot [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

You're talking a garbage [emoji706][emoji706]
 
Kuna mijitu inaona umri wa kuish dunian umeisha inataka kupavuruga ili tupotee wote

Mungu mpe Putin korona ya mku ndu afie mbali
 
Kwani hauwezi kuchangia bila kumuattack mleta maada ?Kwa nini umuambie mleta maada hana akili ?
Sasa Kama hana akili asiambiwe ,, aliye kuambia mtu akiambiwa kakosa akili ilhali Hana Akili kweli ninani !?
 
Back
Top Bottom