Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
Hapa mshindi anapata nini ?
Ni rahisi kwa Marekani kuchochea Vita kwa maneno wakati wapiganaji ni wengine ila ikija toe to toe...., ni ngumu (Public Sentiment inaweza ku-force asifanye anachotaka kufanya) Ulizia Vietnam..., prolonged war ni threat kwa administration iliyopo in power (hususan kama hiyo ita-involve human lives za wananchi (ingawa hapa ana advantage anaangalia hii issue kwa darubini)
Kilichobaki ni Propanga na US kuwa upande wa NATO ila wengine kina China wakiwa upande wa Russia pia ni advantage kwao..., Marekani anaweza ku-gain soko la LNG yake kwa kuwa-convince NATO wasifanye Trade na Russia (ingawa LNG ni gharama kulipa Piped Natural Gas) pia Russia akipata uungwaji mkono na China potentially hilo ni soko kubwa Russia..
Unaongelea Propaganda za kumuondoa Putin..., jiulize hata kwa Public wanamuonaje America ?, Je wanaweza kuside na America kwa kupigwa Propaganda (No love lost between Russia and America)....
Kwa kumaliza No one Wins a War...., Ingawa in this instant Marekani ni kama yupo kwenye Playstation yeye anaangalia kwa mbali (vita vingekuwa on his shores he could have been singing a different tune)