Vipi mzee Putin kakukamata kaputura au? Ukumbuke kuwa Hitler alipigwa na Urusi sijui utakikwepa vipi kichapo cha putinTeam Putin wanavyovimba sasa! Hata Adolf Hitler wangemvimbisha kichwa hivi hivi. Kama walifanya hivyo kwa Saddam unadhani kuvimba kwao leo ni ajabu sana?
Kwani anaepigana ni bush au jeshi. Kumbukeni marekani ni taifa na pale sio Syria. .
Wewe ndie uliye ongea pointKatika maisha ya kawaida, ukiona mtu anatoa vitisho vingi, basi ujue mtu huyo hana au ana uwezo mdogo wa kumkabili adui au mpinzani wake na hii hutokea mitaani na hata mashuleni katika ngumi za kawaida.
Vitisho mara nyingi hutumika kwa lengo la kumuogopesha mpinzani au adui asianzishe mapambano kwasababu mtoa vitisho anajua mpambano ukianza, hatoweza kumshinda adui au mpinzani wake, hivyo ni bora kujihami kwa kuhakikisha mapambano hayayokei na hiki ndio anachokifanya Puttin.
Ukitokea, mpambano utachukua muda mrefu tofauti na tulivyoona kwa kina Saddam na wengine, ila mwisho wa siku Russia atashindwa bila kujadili Marekani ataingia pekee yake au na washirika wake wa NATO.
Mbali na teknolojia, uwezo wa kiuchumi katika vita ni moja ya factor muhimu katika kuamua mshindi wa vita, na uchumi wa Russia sio wa kuulinganisha na ule wa Marekani na washirika wake wa Ulaya wa Magharibi.
Vile vile, Marekani na Ulaya, wataanza kuiwekea vikwazo Russia kama njia ya awali ya kuidhooifisha kiuchumi kabla ya kuingia katika vita halisi iwapo watafika huko.
Puttin anawaza makombora na zana zake zingine za kijeshi, ila wenzake wana-consider all other factors na kujipanga vilivyo kabila hawajaingia katika uwanja wa vita.
Hata kama vita isipotokea, wamerekani kwa kushirikisha na mataifa ya Ulaya, watafanya kila njama kumuondoa Puttin kwani kwa ssaa ni tishio kwao na hawatakubali aendelee kubaki madarakani.
Time will tell.
Wakati ule wa debate club between schools mwalimu wetu alipenda kutuasa kwamba don't use abusive language to your opponents but rather present your arguments to the audience... use of abusive language means that you are desperate and out of tricks/points....Kwani hauwezi kuchangia bila kumuattack mleta maada ?Kwa nini umuambie mleta maada hana akili ?
Si ni kweli hana akiliKwani hauwezi kuchangia bila kumuattack mleta maada ?Kwa nini umuambie mleta maada hana akili ?
Unawasema wenzio wanamihemko wakat na wewe unamihemko piaWatu JF wamejaa Sana na mihemko kumwona Russia anamzidi marekeni kila kitu...US Ni habari nyingine guys ..don't take Hilo taifa cheap Kama mnavodhanj ..Russia akigusa marekani hata kambi zake atabutuliwa hamta amini
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Unadhan russia anashindwa kufika marekani??Hivi kwa akili ya kawaida tu unadhani Russia ana silaha kali na za kisasa kuwazidi wengine hasa Marekani na Israel?
Sema tu dunia ya leo vita iliyobaki ni ya maneno zaidi na sio vita ya kuiingiza nchi katika hasara ya matrilioni ya fedha.
Hivi Marekani naye akisema aingize silaha zake na makombora ya kisasa pale Ukraine unadhani Russia atabaki salama?
Maana Marekani siku zote hapiganii vita nchini mwake bali nchini mwako ama jirani ili madhara ya vita uyapate wewe.
Wataalam wa vita za kalamu muda pele mshaanza kulikunaKatika maisha ya kawaida, ukiona mtu anatoa vitisho vingi, basi ujue mtu huyo hana au ana uwezo mdogo wa kumkabili adui au mpinzani wake na hii hutokea mitaani na hata mashuleni katika ngumi za kawaida.
Vitisho mara nyingi hutumika kwa lengo la kumuogopesha mpinzani au adui asianzishe mapambano kwasababu mtoa vitisho anajua mpambano ukianza, hatoweza kumshinda adui au mpinzani wake, hivyo ni bora kujihami kwa kuhakikisha mapambano hayayokei na hiki ndio anachokifanya Puttin.
Ukitokea, mpambano utachukua muda mrefu tofauti na tulivyoona kwa kina Saddam na wengine, ila mwisho wa siku Russia atashindwa bila kujadili Marekani ataingia pekee yake au na washirika wake wa NATO.
Mbali na teknolojia, uwezo wa kiuchumi katika vita ni moja ya factor muhimu katika kuamua mshindi wa vita, na uchumi wa Russia sio wa kuulinganisha na ule wa Marekani na washirika wake wa Ulaya wa Magharibi.
Vile vile, Marekani na Ulaya, wataanza kuiwekea vikwazo Russia kama njia ya awali ya kuidhooifisha kiuchumi kabla ya kuingia katika vita halisi iwapo watafika huko.
Puttin anawaza makombora na zana zake zingine za kijeshi, ila wenzake wana-consider all other factors na kujipanga vilivyo kabila hawajaingia katika uwanja wa vita.
Hata kama vita isipotokea, wamerekani kwa kushirikisha na mataifa ya Ulaya, watafanya kila njama kumuondoa Puttin kwani kwa ssaa ni tishio kwao na hawatakubali aendelee kubaki madarakani.
Time will tell.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata wewe huna akili
Huyo kakurupuka na anaona kuanza au kuanzisha vita ndio kushinda. Halijui hata Idd Amin alianzishisha vita na baadae yeye ndio akashindwa.Kwani Adolf Hitler alianza kupigwa siku hiyo hiyo aliyoingia Poland?
vipimo gani[emoji23][emoji23][emoji23]Ushauri potofu, dunia ya waliostaarabika haiwezi kukaa kimya ikiangalia uonevu wa wazi ukiendelea. Nato na us tayari wako mpakani mwa Ukraine...tusubiri majibu ya vipimo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na huyu bahati yake kakutana na wazee hawa Wapole!!!! Angekutana bush na hakika mpaka dakika hii asingekanyaga iyo ardhi ya Ukraine
Ajabu sana hii, mtu mzima kama wewe bado unaambatana na dini za kigeni! Waarabu wamewashikia akili zenu.Ushaanza udini.
Kama ulikuwa huelewi, USA ndio nchi kubwa ya Kiislam siku za usoni. Tunaipenda sana kwa wingi wa Wamarekani wanaorudi kwa Allah.++
Jionee;
Mlisema nikiwemo pia kuwa hana ubavu wa kuivamia ukraine anaogopa US, sasa kaivamia.Katika maisha ya kawaida, ukiona mtu anatoa vitisho vingi, basi ujue mtu huyo hana au ana uwezo mdogo wa kumkabili adui au mpinzani wake na hii hutokea mitaani na hata mashuleni katika ngumi za kawaida.