Rais Putin ana uwezo kwa kwenda Le Poisson Rouge night club, Manhattan Club akala bata

Rais Putin ana uwezo kwa kwenda Le Poisson Rouge night club, Manhattan Club akala bata

marehem x

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2022
Posts
513
Reaction score
792
Si rahisi kama weng wanavyofikiria, ICC haina ubavu wa kumshika Putin huyu jamaa ana uwezo wa kwenda Le Poisson Rouge night club, Manhattan Club Marekani na akala bata na hakuna wa kimshika.

Miaka au hivi karibuni utaona atafanya hilo jaribio la kuingia maeneo tatanishi.

Hii inasababishwa na ukweli kwamba bila kulalia mlengo wwt warusi hasa viongozi wa juu wanaamin Putin hajipiganii yeye kama yeye ni kwa ajili SHIRIKISHO la Russia.

Watoto wasiojua watafananisha na kukamatwa Kwa Saddam, na aliyewahi kuwa Rais wa Libya sheikh Gadafi. Haya ni makundi tofauti Kabisa.

Hivi Marekani uliishafanya jaribio kumkamata Rais wa Korea ya kasikazin? Kw nn haijatokea, Wazungu walifanya fujo Afghanistan, na vinchi Vingine kama ........na wakakimbizwa, kule Marekani kuna vikema wa kudumu, wakitembelea wheel chairs, hakuna taifa linakunali kusababishiwa marejeruh na uharibifu.

Rais wa zamani wa urusi majuzi aliongea hataryya jaribio lolote kama hilo wale watafanya jamboybaya haifai kuimbea
 
Basi tuu sipendi ila naweza kuwa najua kukuzidi wewe...
Mweeeee.

Unashinda vipi na aliekuzaa.

Mbegu moja tu ukazaliwa. Unajua kuona tu, deep deep down tuachie baba zako, we dig dig curve nakuwapa watoto kama nyie.


Hapo kwenye naweza ondoa. Huwezi kitu
 
Back
Top Bottom