smarte_r
JF-Expert Member
- Nov 8, 2013
- 4,564
- 12,014
hujaelewa kijana, umekurupuka. hakuna sehemu nimesema US inazuia kupiga picha eneo la nje ya ikulu.huu ujinga mnadanganyana sana rafiki yang kapiga picha hapo kila mtu hata ww unaeza piga picha hapo USA so CHINA au URUSI ambapo ikulu wame I overrate kias rais hawawez kuikaribia
kasome historia ya pablo escobar ndio utaelewa msingi wa comment yangu.
ni kwamba wakati anapiga picha nje ya ikulu ya Washington, tayari alishakuwa kwenye wanted list ya FBI.
jiulize aliingiaje US ikutokea colombia wakati tayari ni wanted na mamlaka za US.