Rais Putin ana uwezo kwa kwenda Le Poisson Rouge night club, Manhattan Club akala bata

kama mwamba pablo escobar aliweza kusafiri mpaka USA na kupiga picha nje ya ikulu wakati anatafutwa na FBI na CIA, sina shaka bingwa wangu vladimir putin anaweza kufanya hivyo pia na akatoka salama bila kuguswa na bwege yoyote.
IMG_20230327_162230.jpg
 
Si rahisi kama weng wanavyofikiria, ICC haina ubavu wa kumshuka Putin huyu jamaa ana uwezo wa kwenda Le Poisson Rouge night club, Manhattan Club akala bata na hakuna wa kimshika.

Miaka au karibuni utaona atafanya hilo jaribio la kuingia maeneo tatanishi.

Hii inasababishwa na ukweli kwamba bila kulalia mlengo wwt warusi hasa viongozi wa juu wanaamin Putin hajipiganii yeye kama yeye.

Ni SHIRIKISHO
Huyu naye ni GT et, Tanzania tumekwisha🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Si rahisi kama weng wanavyofikiria, ICC haina ubavu wa kumshuka Putin huyu jamaa ana uwezo wa kwenda Le Poisson Rouge night club, Manhattan Club akala bata na hakuna wa kimshika.

Miaka au karibuni utaona atafanya hilo jaribio la kuingia maeneo tatanishi.

Hii inasababishwa na ukweli kwamba bila kulalia mlengo wwt warusi hasa viongozi wa juu wanaamin Putin hajipiganii yeye kama yeye.

Ni SHIRIKISHO
ndo kuivamia Ukraine ni kuipigania Urus , warusi watakuwa sio timamu kama wana hiz akili
 
kama mwamba pablo escobar aliweza kusafiri mpaka USA na kupiga picha nje ya ikulu wakati anatafutwa na FBI na CIA, sina shaka bingwa wangu vladimir putin anaweza kufanya hivyo pia na akatoka salama bila kuguswa na bwege yoyote.
View attachment 2567673
huu ujinga mnadanganyana sana rafiki yang kapiga picha hapo kila mtu hata ww unaeza piga picha hapo USA so CHINA au URUSI ambapo ikulu wame I overrate kias rais hawawez kuikaribia
 
Mi sio mshabiki wa siasa ila Putin ni level nyingine nimeona yale madege yyanao mu escort kwend SA nimeogopa...
Dada yangu wala hujakosea.
Putin ni Rais wa nchi inayoziyumbisha nchi Zote tuanzoziabudu sisi.
Kwa uwezo huo wa kuziyumbisha maana yake wanatamani sana roho yake.
Nao wa Russia kwa kulijua hilo ulinzi wanaompa sio wa Dunia hii.
Kwa kifupi mwamba Yuko vizuri.

Halafu za chini chini ni kwamba Putin ni Shabiki Mkubwa wa Simba🇷🇺🤣🤣🤣😀😀🛑
 
Back
Top Bottom