Rais Putin ana uwezo kwa kwenda Le Poisson Rouge night club, Manhattan Club akala bata

Huyu naye ni GT et, Tanzania tumekwisha🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Unamzungumzia Putin yupi? Huyu anayeishi kama digidigi?
 
ndo kuivamia Ukraine ni kuipigania Urus , warusi watakuwa sio timamu kama wana hiz akili
 
huu ujinga mnadanganyana sana rafiki yang kapiga picha hapo kila mtu hata ww unaeza piga picha hapo USA so CHINA au URUSI ambapo ikulu wame I overrate kias rais hawawez kuikaribia
 
Mi sio mshabiki wa siasa ila Putin ni level nyingine nimeona yale madege yyanao mu escort kwend SA nimeogopa...
Dada yangu wala hujakosea.
Putin ni Rais wa nchi inayoziyumbisha nchi Zote tuanzoziabudu sisi.
Kwa uwezo huo wa kuziyumbisha maana yake wanatamani sana roho yake.
Nao wa Russia kwa kulijua hilo ulinzi wanaompa sio wa Dunia hii.
Kwa kifupi mwamba Yuko vizuri.

Halafu za chini chini ni kwamba Putin ni Shabiki Mkubwa wa Simba🇷🇺🤣🤣🤣😀😀🛑
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…