hujaelewa kijana, umekurupuka. hakuna sehemu nimesema US inazuia kupiga picha eneo la nje ya ikulu.huu ujinga mnadanganyana sana rafiki yang kapiga picha hapo kila mtu hata ww unaeza piga picha hapo USA so CHINA au URUSI ambapo ikulu wame I overrate kias rais hawawez kuikaribia
Mnamsifia putin mno 🤣🤣🤣😂😂Kama mabraza zangu pale masjid mtambani walivyokua wanamsifia Kanal Gadaffi miaka ya tisini.Uzuri time will tell.Si rahisi kama weng wanavyofikiria, ICC haina ubavu wa kumshuka Putin huyu jamaa ana uwezo wa kwenda Le Poisson Rouge night club, Manhattan Club akala bata na hakuna wa kimshika.
Miaka au karibuni utaona atafanya hilo jaribio la kuingia maeneo tatanishi.
Hii inasababishwa na ukweli kwamba bila kulalia mlengo wwt warusi hasa viongozi wa juu wanaamin Putin hajipiganii yeye kama yeye.
Ni SHIRIKISHO
Mnamsifia putin mno [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]Kama mabraza zangu pale masjid mtambani walivyokua wanamsifia Kanal Gadaffi miaka ya tisini.Uzuri time will tell.
Yale mapicha yalikuwa ya toka mwaka jana.Mi sio mshabiki wa siasa ila Putin ni level nyingine nimeona yale madege yyanao mu escort kwend SA nimeogopa...
Umeyajuaje kuwa yapo kama si kupitia 'show off' au unafanya kazi Pentagon?Mkuu.
Upande wa pili wana haya madude ila huwa hawana show off na wamepigana vita kila mwaka toka 1945.
F-15
F-22
F-35
B-2
B-21
View attachment 2567679
View attachment 2567680
View attachment 2567683
View attachment 2567681
View attachment 2567682
Kwa akili Yako unaweza kumfananisha Gadafi na Putin?Mnamsifia putin mno 🤣🤣🤣😂😂Kama mabraza zangu pale masjid mtambani walivyokua wanamsifia Kanal Gadaffi miaka ya tisini.Uzuri time will tell.
Hata Saddam alisifiwa sana kama anavyosifiwa Putin kwa sasa na nyie vijana wa leo JF.Sishangai wewe kuniita mbumbumbu maana miaka hiyo ulikua hujazaliwa na mbwembwe za Gaddafi na siasa zake kimataifa hukuziona na vijiwe vyetu na mabraza near masjid mtambani wewe umezaliwa vimeshakufa kilibaki kimoja pale forodhani sec school kwa nyuma.Kwa akili Yako unaweza kumfananisha Gadafi na Putin?
Haihitaji elimu ya msingi kujua wewe ni mbumbumbu