Rais Putin kufanya ziara ya nje ya Urusi kwa mara ya kwanza tangu kuanza kwa vita

Rais Putin kufanya ziara ya nje ya Urusi kwa mara ya kwanza tangu kuanza kwa vita

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
1656310788705.png

Rais wa Urusi, Vladimir Putin anatarajiwa kufanya ziara katika nchi mbili ndogo za wiki hii, hiyo inatarajiwa kuwa ziara ya kwanza ya kiongozi huyo tangu kuibuka kwa vita ya Urusi dhidi ya Ukraine, Februari 24, 2022.

Ziara hiyo inatarajiwa kuwa katika mataifa ya Tajikistan na Turkmenistan kisha atarejea Urusi kukutana na Rais wa Indonesia. Joko Widodo.

Mara ya mwisho kwa Putin kutoka nje ya mipaka ya Urusi ilikuwa mwanzoni mwa Februari, 2022 alipotembelea China na kushiriki katika ufunguzi wa Michezo ya Olimpiki.
----

Vladimir Putin to make first foreign trip since Ukraine invasion
Vladimir Putin will visit two small former Soviet states in central Asia this week in what would be the Russian leader’s first known trip abroad since ordering the invasion of Ukraine.

Pavel Zarubin, the Kremlin correspondent of the Rossiya 1 state television station, said Putin would visit Tajikistan and Turkmenistan and then meet Indonesian President Joko Widodo for talks in Moscow.

In Dushanbe, Putin will meet Tajik President Imomali Rakhmon, a close Russian ally and the longest-serving ruler of a former Soviet state. In Ashgabat, he will attend a summit of Caspian nations including the leaders of Azerbaijan, Kazakhstan, Iran and Turkmenistan, Zarubin said.

Putin’s last known trip outside Russia was a visit to Beijing in early February, where he and Chinese President Xi Jinping unveiled a “no limits” friendship treaty hours before both attended the opening ceremony of the Winter Olympic Games.

Russia’s February 24 invasion has killed thousands of people, displaced millions more, and led to severe financial sanctions from the West, which Putin says are a reason to build stronger trade ties with other powers such as China, India and Iran.

Russia says it sent troops into Ukraine to degrade its neighbour’s military capabilities, keep it from being used by the West to threaten Russia, root out nationalists, and defend Russian speakers in eastern regions.

Source: DW
 
Anataka kuionesha dunia kwamba anaweza kwenda popote na hakuna wa kumsogeleal,kinachovutia kisha wataarifu Atakua huko maana yake mwenye uwezo amfate huko.[emoji1]
Anaogopa kupinduliwa kuliko hata kuuawa nje ya nchi

Kuna uwezekano anakimbia nchi kijanja ili awape nafasi magenerali wanataka kumpindua wachukue Urusi kirahisi akiwa nje na yeye kubaki uhamishoni kwenye moja ya hizo nchi

Tutege masikio wiki hii kuna jambo.zito litampata Putin na litatokea Russia
 
Ubabe una mwisho. Yeye si wa kwanza walikuwepo akina Hitler,Iddi Amin,n k leo hii hawapo,wako mbele za haki kutoa hesabu dhidi ya matendo yao. God is watching
Naona history hauijui

Putin sio mbabe, mpole kabisa na humanity

nato na usa walimchukulia poa

Weka akili zako kwenye ukweli, utakuwa na akili njema kuliko kufuata mkumbo
 
Ubabe una mwisho. Yeye si wa kwanza walikuwepo akina Hitler,Iddi Amin,n k leo hii hawapo,wako mbele za haki kutoa hesabu dhidi ya matendo yao. God is watching
Anaesimamia haki atajulikana si muda mrefu sana
 
Kwa nini ndege yake haipigwi makombora au unasemaje bwana MK254

Huko anakwenda hebu soma majina ya hayo mataifa Tajikistan na Turkmenistan.
Inambidi aanze kubembeleza sasa ameona ubabe hausaidii kitu, hayo ni baadhi ya mataifa ambayo yanaweza kujiunga NATO muda wowote.
 
Back
Top Bottom