Rais Putin kufanya ziara ya nje ya Urusi kwa mara ya kwanza tangu kuanza kwa vita

Rais Putin kufanya ziara ya nje ya Urusi kwa mara ya kwanza tangu kuanza kwa vita

Aende Brazil kisa tu wewe ndio unataja aende Brazil?

Unampangia pakwenda bila hata kujua huko anapokwenda sasa hivi anakwenda kwa mikakati ipi!
hahaaa yaan ss hv hvyo vinch ndo vimekuwa vya kimkakati tena ?
 
hahaaa yaan ss hv hvyo vinch ndo vimekuwa vya kimkakati tena ?
Kwani anaenda kwa mkakati upi? Ni ziara ya nini? Hebu tujuze huenda wewe ukawa unajua zaidi coz upo ndani ya Kremlin Moscow.
 
Huu ndio muda muafaka, vijana wa Mosad na CIA wanatafuta fursa ya kupita naye.
Cha ajabu Putin hana ugomvi na Israel mshirika kindakindaki wa marekkani

Mosad wanashida gani nae.!?

Russia kuna wayahudi kibao wengine wako Kremlin.

Wakati Putin hana uhasama na Israel,pia marekani ni mshirika wa israel.

Kama A=B=C

Ndio utajua kuwa huu uhasama wa russia na US ni geresha tu. Deep down ni marafiki sana na wanashare project na biashara kibao.

Huu uhasama umetengenezwa tu kuleta msawazo wa kiuchumi,kisiasa za kimataifa na mambo kadha wa kadha.

Wamarekani wa ikungulyabashashi na warussi wa ntantilyabashashi endeeleni kuvutana mashati[emoji2]
 
kwan bajet ya ulinz ya urusi na usa inalingana ? yaan mwenz pesa nying kweny ulinz awe na ulinz mdg hlf mweny pesa ndog awe na ulinz mkubwa ? back on point tunazungumzia kuish km digi digi yaan kuanzia watot wakizung ss hv anawaona tu kwa pornhub , yy alishazoea vitoto romantic ss hv akomae na wakurya wa urusi
Kumbe nilikua najadili mambo mazito na mtu aliye kwenye likizo ya Shule!
 
Huu ndio muda muafaka, vijana wa Mosad na CIA wanatafuta fursa ya kupita naye.
Hii inanikumbusha jinsi Rais John F. Kennedy alivyo pania kumuua Fidel Castro badala yake akawaiwa yeye - sasa hiki ndio kutokea kwa Taifa lolote lonalo kula njama za kumdhuru Putin - viongozi wao ndio watatangulia mbele ya haki na sio Putin.
 
Cha ajabu Putin hana ugomvi na Israel mshirika kindakindaki wa marekkani

Mosad wanashida gani nae.!?

Russia kuna wayahudi kibao wengine wako Kremlin.

Wakati Putin hana uhasama na Israel,pia marekani ni mshirika wa israel.

Kama A=B=C

Ndio utajua kuwa huu uhasama wa russia na US ni geresha tu. Deep down ni marafiki sana na wanashare project na biashara kibao.

Huu uhasama umetengenezwa tu kuleta msawazo wa kiuchumi,kisiasa za kimataifa na mambo kadha wa kadha.

Wamarekani wa ikungulyabashashi na warussi wa ntantilyabashashi endeeleni kuvutana mashati[emoji2]
Well said,mpaka sasa Israel imekataa kuwapa silaha jeshi la Ukraine - kumbuka Zelensky ni Muyahudi mwenzao lakini hawakutaka kijiingiza kwenye mgogoro wa Ukrain na Urusi.
 
Back
Top Bottom