Rais Putin kutangaza usiku huu Russia kutambua rasmi majimbo huru yaliyojitenga ya Donetski na Luhansk

Russia hana sera za kivamizi yeye yuko defensive zaidi ila ukimzingua ndio utajua hujui USA yeye ni expansionist anapenda ugomvi muda wote
Ukraine anafuata nini kama sio kuvamia ?Nikikumbuka ile ndege ya Malaysia iliyotunguliwa na maseparist pro Russe nasikia uchungu. Ninamwona Putin ni zaidi ya Shetani.
 
Yaani covid imesimamisha michakato for almost two years. Halafu huyu msengerema Putin analeta ununda wa kifala hapa
Yaani nyinyi sindio mnawasifu Israhell wanapowauwa Palestina na kunyakua ardhi zao?? Nyinyi sindio mlifurahi Trump alipowahalalishia Israhell milima ya golan ya Syria?? Nyinyi si ndio mnafurahi kuona nato inauwa watu Libya na Afghani, leo roho zinawauma?? Acheni unafiq
 
Dah aisee?
Vladimir ni noma aisee.
Victoire, wewe ni binti mzuri Sana, usimjibu Sawa Sawa na akili zake. Nyamaza tuendelee kukupenda zaidi
Kwanza wanaomtukana Dada wanakosea ,yeye hayo ndio maoni yake,wasimlazimishe aone waonavyo wao,Bali wamwelimishe au wajibu hoja zake kwa hoja. Na ndio lengo la mjadala wowote.

Siungi mkono kutumia maneno yenye kuudhi kwa dada yetu.
Au kumtusi.
 
Point of correction USA na RUSSIA zimepakana yaani ni majirani, naweza onekana kituko ila huo ndio ukweli. ALASKA ambayo ni Jimbo la USA iko imepaka na RUSSIA.
 
#Russia is ready to show the real decommunization to the authorities in Kyiv which are taking down monuments to Vladimir Lenin, Putin said. "You want decommunization? Well, that is fine by us.. We are ready to show you what real decommunization means for #Ukraine"
 
Kuhusu Nato nilimponda USA.Leo nimemponda Putin kwa kutambua sehemu ya Ukraine ambao ni pro Russia kama sehemu huru.Mimi sina upande. Ukitaka ujadili vizuri hawa mataifa wawili ni vyema kutokuwa na upande maana wote ni wapumbavu.
Mbona unajificha DAda,wewe tayari kabisa umemhukumu Kipenzi Cha wanyonge Vladimir kuwa age,Tena ukasema atokee mlinzi wake ampige risasi.
Na ukasema atakufa TU.
Sasa hapo tayari umeshatoa uamuzi na umehukumu Hadi kifo.
Sioni u nyutro wako hapo.
Wewe ni wazi uko west bila kujali Hila na uchokozi wao dhidi ya Urusi.
Hauko nyutro dada una upande tayari.
Wala sio kosa kuwa na upande.
Mimi niko na mtu mwema Vladimir.
Kawapa USA na NATO maoni yake ya kuepusha vita wameyatupilia mbali,afanyeje?
Kuna ulazima Gani wa kuiingiza Ukraine NATO?
Kuna ulazima Gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…