Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wale washikajin nao wapo wengi,ila tatizo ni habari hii.Nafurahi kuona timu Russia tupo wengi.
Haya matusi kafanya Putin leo NATO na USA watakua wamekua wekundu kwa hasira [emoji23]
Unaujua ukubwa wa Ukraine kweli? Hadi ukaite kainchi
[emoji23][emoji23][emoji23]Haya matusi kafanya Putin leo NATO na USA watakua wamekua wekundu kwa hasira [emoji23]
Russia nimezidi kuwapenda, hakuna maneno maneno ni vitendo tu.Wale washikajin nao wapo wengi,ila tatizo ni habari hii.
Wanachungulia na kulia machozi kwa ghadhabu.
Afadhari hatimae Sasa mmekua marafiki,naona akishasoma hiyo atabadilika na kua mpenda haki.Duh unasoma yet uko shallow usingesoma ingekuwaje ? Anyway hebu katafute kitu kinaitwa lubianka halafu uje utuelezee yaliyomo mule au yaliyokuwamo enzi hizo kwenye lubianka building
[emoji23] [emoji23] Kwisha habari yao, halafu atatokea mpuuzi mmoja humu atapingaView attachment 2126746
As of now, Mrusi yuko ndani ya Ukraine.
Kiweka base karibia na Marekani ni kumchokoza Marekani na hiyo sio moja ya tabia za Urusi wala Putin,Hawa wanataka amani,upendo na ushiriniani. Sana na Marekani.Hapo upo sawa kabisa. Ila kwa nini Urusi nae asiweke base zake pale Mexico,Canada ili wapambane vizuri na US. Why huyu Urusi anamwonea Ukraine ?
Kwahiyo baada ya Hitler kuruhusiwa kuichukua Sudetenland, vita iliepushwa? Ukizingatia kuwa hilo lilifanyika mwaka 1938, ambapo ni mwaka mmoja tu kabla ya kuanza kwa Vita ya Pili ya Dunia!Ukraine kayataka mwenyewe anadanganywa na hao west kuepusha vita Putin apewe tu hayo maeneo kama walivyompa Hitler sudetenland
Tunampenda huyu dada humu ndani basi TU.@Victoire
Ukweli Hawa jamaa Wana mipangomkakati makini sanaRussia nimezidi kuwapenda, hakuna maneno maneno ni vitendo tu.
Haya Russia huyo hapo Ukraine
Mkataba unaoihusu NATO ni mkataba unaoyahusu mataifa zaidi ya 12 (kwa sasa 30). Ni mkataba wa kimataifa! Unaposainiwa, ni lazima iwe hadharani kwa ridhaa ya mataifa hayo. Huo ni tofauti na mikataba mingine ya madikteta katika nchi zao pekee.Ndugu yangu nikuulize Kama Mkataba wa kujenga Bandari ya Bagamoyo UMEUONA. Sembuse KATABA KUBWA HIVYO LA NATO.
Walianza kusema Russia anaogopa kuingiaa Ukraine[emoji23] [emoji23] Kwisha habari yao, halafu atatokea mpuuzi mmoja humu atapinga
Nini Tena swahiba?Mamaeeeeeeee
Kainchi maana yake ni kadogo ila ukubwa wa Ukraine ni zaidi ya nchi yoyote ya Ulaya yani ni kubwa sanaaa.Angalia ramani ndo utajua hatari iliyopo kwa Ukraine, imezungukwa kila pande kasoro kwenye mpaka wake upande wa Poland.
Kwengine kote huku Putin akisema butua, majitu hayana jeuri
Uko sawaa naelewa kabisa.Point of correction USA na RUSSIA zimepakana yaani ni majirani, naweza onekana kituko ila huo ndio ukweli. ALASKA ambayo ni Jimbo la USA iko imepaka na RUSSIA.