hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
Acha ujingaPutin ni hatari kwa hii dunia. Yaani natamani afe tu. Dictator mkubwa huyu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha ujingaPutin ni hatari kwa hii dunia. Yaani natamani afe tu. Dictator mkubwa huyu.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Hawa jamaa wanaweza wakaamua kuja kupigania Africa, tusishangilie vitu tusivyovijua
[emoji16][emoji16]Acha ucuma
[emoji16][emoji16][emoji16] Dunia ilipofikia inahitaji new generation ,, Acha tu kiwakeee [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Wasituletee vita ya 3 ya dunia kwa sababu ya upumbavu wao. Maana vita ya 3 kwa technolojia iliyopo wote tutakwisha including wao. Washenzi hawa wananibore sana.
Yaaani Ni mwamba na nusu [emoji91][emoji91][emoji16]Putin ni mwamba.
Same here niggaTeam putin beeebiiii
Yeah now it's to late [emoji16][emoji16][emoji16][emoji123]Putin ni former spymaster ni mjuvi wa masuala mengi yanohusu Russia.
Kwa hilo nampa alama za juu sana jamaa alipaswa kuzuiwa alipokuwa akipanda ngazi.
Maji wataita mma ,, [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Wewe ndo muongo usiyejua na bora unyamaze tu, umemezeshwa propaganda za BBC. Yale maandamano yaliandaliwa na kupangwa na CIA na FBI kisa rais hakuwa upande wao, ivyo 2akapanga kumuondoa, haukujiuliza kwann rais aliyetoka na kupisha zelinski alitaka kuongeza muda raia wakagoma? Na ndo mana Cremia ikaenda na maji na leo Luganski na Donbass nazo zinakwenda na maji, lisha wanahamia wahuni eneo lingine, mpaka Ukraine iishe kama ilivyoisha Yugoslavia.
Raha Sana [emoji16][emoji16]Maana ya kusaini ni kwamba majeshi ya russia yanaruhusiwq kuingia rasmi eneo husika kwa ajili ya ulinzi, na wale wahuni walivyo washenzi wakikamilisha mishe hii wanahamia jimbo lingine vuguvugu linaanza wanakuja kusaini linakwenda mpaka ile ukraine iishe kama Yugoslavia
Bonge la meza [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Putin anafahamu hilo (la kuuawa) na wafahamu ni majaribio mangapi jamaa kapitia?
Ndio maana wakienda viongozi wengine kule Moscow yeye aweka ile meza kubwa usimsogelee.
Nenda kameze bogaSilipendagi hili senge.
Dunia imechoka hizi drama. Mara covid mara huu ujinga. Qumamayo wewe Putin
Akili mtu wangu [emoji16]Putin katafuta sababu ya kuingiza majeshi ili wakigusa tu moto uwake apate sababu kwamba alikwenda kutoa ulinzi kwa majimbo yaliyojitenga, sasa waguse kifaa cha russia moto unawaka mazima na ukraine inakwenda na maji. Kacheza kete moja matata sana Putin ktk hili draft
[emoji16][emoji16][emoji16] ubabe bila akili umewahi kuona wapi ,?? Vita ni strategy ,Kuna strategy inayo fanyika bila matumizi ya akili kuwepo !?Hana akili yeyote. Ubabe tu sema mwisho wake soon unafika.
Samaki mkubwa ana kula samaki mdogo, ni Kama jinsi ilivyo Simba kumla swala, nature ndio Umeamua dunia na viumbe vyake viwe hivyo, hiyo haina tofauti na namna tunavyoishi binaadamu, Binaadamu hata tuhubiri Amani kwa kiasi gani lakini amani haiwezi kuwa sehemu zote, kwa sababu binaadamu ni kiumbe chenye tamaa ya Mali na madaraka, Nature ya Ulimwengu inamtambua mwenye nguvu kuwa ndiye mshindi/mtawala na ndiye atakaye survive nature haina time na viumbe dhaifu, [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]US na Russia wote walewale. Wapigane wao na waiache Ukraine ijitawale.
Benders fuata upepo hao [emoji16]Haelewi chochote huyo,wee mwache TU.
Mtu anasema eti Ukraine iachwe ijiunge NATO..kweli?
Yaani NATO iwe dirishani mwa Urusi,kweli?
Watu wengine hawajui hata masuala ya usalama.
Utawaweza wamarekani weusi wa Tandale [emoji16][emoji16][emoji16]Mlikuwa mnabweka kwamba Russia kasanda kumbe mnachorwa tu
Vita ya 3 itaanza siku China akiichukua Taiwan kwa nguvuKuna dalili ya vita ya tatu ya dunia hapa.
Vita inaanzaga kwa maneno tu, baadaye silaha nzito zinachukua nafasi.
[emoji2][emoji2][emoji2] sasa hv sio RUSSIA kuivamia UKRAINE tena[emoji13][emoji13]Vita ya 3 itaanza siku China akiichukua Taiwan kwa nguvu
Wamejaa unafiki SanaYaani nyinyi sindio mnawasifu Israhell wanapowauwa Palestina na kunyakua ardhi zao?? Nyinyi sindio mlifurahi Trump alipowahalalishia Israhell milima ya golan ya Syria?? Nyinyi si ndio mnafurahi kuona nato inauwa watu Libya na Afghani, leo roho zinawauma?? Acheni unafiq