Rais Putin kutangaza usiku huu Russia kutambua rasmi majimbo huru yaliyojitenga ya Donetski na Luhansk

Rais Putin kutangaza usiku huu Russia kutambua rasmi majimbo huru yaliyojitenga ya Donetski na Luhansk

Wasituletee vita ya 3 ya dunia kwa sababu ya upumbavu wao. Maana vita ya 3 kwa technolojia iliyopo wote tutakwisha including wao. Washenzi hawa wananibore sana.
[emoji16][emoji16][emoji16] Dunia ilipofikia inahitaji new generation ,, Acha tu kiwakeee [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Putin ni former spymaster ni mjuvi wa masuala mengi yanohusu Russia.

Kwa hilo nampa alama za juu sana jamaa alipaswa kuzuiwa alipokuwa akipanda ngazi.
Yeah now it's to late [emoji16][emoji16][emoji16][emoji123]
 
Wewe ndo muongo usiyejua na bora unyamaze tu, umemezeshwa propaganda za BBC. Yale maandamano yaliandaliwa na kupangwa na CIA na FBI kisa rais hakuwa upande wao, ivyo 2akapanga kumuondoa, haukujiuliza kwann rais aliyetoka na kupisha zelinski alitaka kuongeza muda raia wakagoma? Na ndo mana Cremia ikaenda na maji na leo Luganski na Donbass nazo zinakwenda na maji, lisha wanahamia wahuni eneo lingine, mpaka Ukraine iishe kama ilivyoisha Yugoslavia.
Maji wataita mma ,, [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Ohhh oohhh Russia Hana kitu , ooohh Russia waoga tu haya Sasa mwanaume huyo ana kwenda kukiwasha, (Hawa pro Americans wa Jf wakisha vimbiwaga maharage huwaga wanawaza ujinga Sana na kuanza kuongea pumba)
 
Maana ya kusaini ni kwamba majeshi ya russia yanaruhusiwq kuingia rasmi eneo husika kwa ajili ya ulinzi, na wale wahuni walivyo washenzi wakikamilisha mishe hii wanahamia jimbo lingine vuguvugu linaanza wanakuja kusaini linakwenda mpaka ile ukraine iishe kama Yugoslavia
Raha Sana [emoji16][emoji16]
 
Putin katafuta sababu ya kuingiza majeshi ili wakigusa tu moto uwake apate sababu kwamba alikwenda kutoa ulinzi kwa majimbo yaliyojitenga, sasa waguse kifaa cha russia moto unawaka mazima na ukraine inakwenda na maji. Kacheza kete moja matata sana Putin ktk hili draft
Akili mtu wangu [emoji16]
 
US na Russia wote walewale. Wapigane wao na waiache Ukraine ijitawale.
Samaki mkubwa ana kula samaki mdogo, ni Kama jinsi ilivyo Simba kumla swala, nature ndio Umeamua dunia na viumbe vyake viwe hivyo, hiyo haina tofauti na namna tunavyoishi binaadamu, Binaadamu hata tuhubiri Amani kwa kiasi gani lakini amani haiwezi kuwa sehemu zote, kwa sababu binaadamu ni kiumbe chenye tamaa ya Mali na madaraka, Nature ya Ulimwengu inamtambua mwenye nguvu kuwa ndiye mshindi/mtawala na ndiye atakaye survive nature haina time na viumbe dhaifu, [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Enheeee Russia endeleeni kutoa kichapo huko
 
kitu kinachochekesha ni sie wa Africa kushabikia na kusifia upuuzi ooh sijui Mwanaume kasogeza kete dume, ohh wapigabe sasa, sijui nani akiwashe wapewe kichapo, wakati inajulikana fika hata likitokea la kutokea ukiacha wananchi wa nchi hizo husika kutaabika na hiyo vita, next itakua ni sisi wa Africa hata kama vita hiyo haitapiganiwa huku Africa...


hekima na busara ndio inatakiwa kutumika zaidi ya ubabe wa hizi 2 super powers ambazo zinaonyesha fika greedy ya next level..

amazing thing ni kuwa nchi kama China iko kimyaaa kwenye haya wakati yeye ni amongst majirani wakaribu kabisaaa
 
Vita ya 3 itaanza siku China akiichukua Taiwan kwa nguvu
[emoji2][emoji2][emoji2] sasa hv sio RUSSIA kuivamia UKRAINE tena[emoji13][emoji13]
hata hilo nalo pia nisuala lamuda tu kama tulivyokua tukiwaeleza kuhusu UKRAINE mkawa mnakaza shingo
 
Yaani nyinyi sindio mnawasifu Israhell wanapowauwa Palestina na kunyakua ardhi zao?? Nyinyi sindio mlifurahi Trump alipowahalalishia Israhell milima ya golan ya Syria?? Nyinyi si ndio mnafurahi kuona nato inauwa watu Libya na Afghani, leo roho zinawauma?? Acheni unafiq
Wamejaa unafiki Sana
 
Back
Top Bottom