Rais Putin kutangaza usiku huu Russia kutambua rasmi majimbo huru yaliyojitenga ya Donetski na Luhansk

Rais Putin kutangaza usiku huu Russia kutambua rasmi majimbo huru yaliyojitenga ya Donetski na Luhansk

kitu kinachochekesha ni sie wa Africa kushabikia na kusifia upuuzi ooh sijui Mwanaume kasogeza kete dume, ohh wapigabe sasa, sijui nani akiwashe wapewe kichapo, wakati inajulikana fika hata likitokea la kutokea ukiacha wananchi wa nchi hizo husika kutaabika na hiyo vita, next itakua ni sisi wa Africa hata kama vita hiyo haitapiganiwa huku Africa...

hekima na busara ndio inatakiwa kutumika zaidi ya ubabe wa hizi 2 super powers ambazo zinaonyesha fika greedy ya next level..

amazing thing ni kuwa nchi kama China iko kimyaaa kwenye haya wakati yeye ni amongst majirani wakaribu kabisaaa
shida nikwamba hao unaowahisi wanahitajia hekima hua hawana hizo hekima
kwahio ssi tunasema acha inyeshe tuone panapovuja
 
'Kipenzi cha wanyonge'

Hivi unajiita mnyonge ili iweje? Kwanini ujidharau kiasi hiko kwaajili ya ujinga. Eti wanyonge daaah
Alimuokoa Assad.walikua wameshamwekea na tarehe ya kumtoa,Putin kapindua meza.
Alimuokoa Maduro,walishamweksa na tarehe ya kumgo'a na wakamuandaa na rais mbadala wa Venezuela,Putin akatibua mpango.
Kidunia Assad na Maduro ni wanyonge TU kwa USA.
 
Ndiyo maana Putin ameamua kuingia kule, anajua hataumia peke yake, Ulaya inamtegemea hivyo lazima na wao wataumia, at some point watalegeza tu
Hatuna shida sisi gesi tutamuuzia mchina [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Rais wa Urusi sio mchezo my friend...security details zake ni balaa kubwa....Lakini Hata Wewe Mchepuko wa mumeo ukija kukaa jirani na kwako utqkubali?? Kwann muone ni sawa Nato kuichukua Ukraine isogee pale boarder ianze kuchunguza kila kitu wakiamua wanapiga Moscow...sisi Team Russia tunamwambia Mwamba Putin tandika hawa Watu....tuheshimiane
Tandika tena awatandike haswaa,, kwanza huu mgogoro ni Bora uwe Vita rasmi Ni opportunity ya Russia kuonyesha ukubwa wake Mara 3 ya vile dunia inavyo mfahamu , kwa hiyo wapigane tu ili Russia avune heshima zaidi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
kitu kinachochekesha ni sie wa Africa kushabikia na kusifia upuuzi ooh sijui Mwanaume kasogeza kete dume, ohh wapigabe sasa, sijui nani akiwashe wapewe kichapo, wakati inajulikana fika hata likitokea la kutokea ukiacha wananchi wa nchi hizo husika kutaabika na hiyo vita, next itakua ni sisi wa Africa hata kama vita hiyo haitapiganiwa huku Africa...

hekima na busara ndio inatakiwa kutumika zaidi ya ubabe wa hizi 2 super powers ambazo zinaonyesha fika greedy ya next level..

amazing thing ni kuwa nchi kama China iko kimyaaa kwenye haya wakati yeye ni amongst majirani wakaribu kabisaaa
Hekima toka kwa Nani !? Hao unaodhani kuwa wanahekima hao ni false flag , kawaida yao Ni kuhubiri Amani huku wameficha mapanga ,, so acha kiwake tu[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji16][emoji16][emoji16]

Piga keleleeeeee
 
[emoji16][emoji16][emoji16] ubabe bila akili umewahi kuona wapi ,?? Vita ni strategy ,Kuna strategy inayo fanyika bila matumizi ya akili kuwepo !?

Goooo Russia goooo piga hao mbwa
Nyie mnafurahia vita mnafikiri hamtaathirika. Mafuta yatapanda bei maradufu. Opec watatumia hii chance.
 
Back
Top Bottom