Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
shida nikwamba hao unaowahisi wanahitajia hekima hua hawana hizo hekimakitu kinachochekesha ni sie wa Africa kushabikia na kusifia upuuzi ooh sijui Mwanaume kasogeza kete dume, ohh wapigabe sasa, sijui nani akiwashe wapewe kichapo, wakati inajulikana fika hata likitokea la kutokea ukiacha wananchi wa nchi hizo husika kutaabika na hiyo vita, next itakua ni sisi wa Africa hata kama vita hiyo haitapiganiwa huku Africa...
hekima na busara ndio inatakiwa kutumika zaidi ya ubabe wa hizi 2 super powers ambazo zinaonyesha fika greedy ya next level..
amazing thing ni kuwa nchi kama China iko kimyaaa kwenye haya wakati yeye ni amongst majirani wakaribu kabisaaa
kwahio ssi tunasema acha inyeshe tuone panapovuja