Rais Putin kutangaza usiku huu Russia kutambua rasmi majimbo huru yaliyojitenga ya Donetski na Luhansk

Rais Putin kutangaza usiku huu Russia kutambua rasmi majimbo huru yaliyojitenga ya Donetski na Luhansk

Unaujua ukubwa wa Ukraine kweli? Hadi ukaite kainchi

Angalia ramani ndo utajua hatari iliyopo kwa Ukraine, imezungukwa kila pande kasoro kwenye mpaka wake upande wa Poland.

Kwengine kote huku Putin akisema butua, majitu hayana jeuri
 
Duh unasoma yet uko shallow usingesoma ingekuwaje ? Anyway hebu katafute kitu kinaitwa lubianka halafu uje utuelezee yaliyomo mule au yaliyokuwamo enzi hizo kwenye lubianka building
Afadhari hatimae Sasa mmekua marafiki,naona akishasoma hiyo atabadilika na kua mpenda haki.
 
Hapo upo sawa kabisa. Ila kwa nini Urusi nae asiweke base zake pale Mexico,Canada ili wapambane vizuri na US. Why huyu Urusi anamwonea Ukraine ?
Kiweka base karibia na Marekani ni kumchokoza Marekani na hiyo sio moja ya tabia za Urusi wala Putin,Hawa wanataka amani,upendo na ushiriniani. Sana na Marekani.

Urusi hapendi vita hata,
WWII alipoteza watu milioni karibu 10 amabo kwa kweli ni sawa na idadi ya watu katika taifa moja Fulani hapa duniani.kwa maana hiyo ni sawasaw na kuondoa kizazi ama kufuta kabisa kikazi ana raia katika nchi Fulani,yaani kuua rai wote million kumi.
Kama Kuna nchi inajua machungu ya vita ni Urusi.hawana hamu na vita Hawa.
Ul ukiwajaribu watakupa vita kweli.
Ndio maana wao kipaumbele Cha kwanza ni silaha kwa ajili ya kujilinda hawataki yawatokee waliyofanyiwa na Hitler.
 
Ukraine kayataka mwenyewe anadanganywa na hao west kuepusha vita Putin apewe tu hayo maeneo kama walivyompa Hitler sudetenland
Kwahiyo baada ya Hitler kuruhusiwa kuichukua Sudetenland, vita iliepushwa? Ukizingatia kuwa hilo lilifanyika mwaka 1938, ambapo ni mwaka mmoja tu kabla ya kuanza kwa Vita ya Pili ya Dunia!
 
@Victoire
Tunampenda huyu dada humu ndani basi TU.
Yuko vizuri sana,wengine wala hawna habari wanakula raha TU huko mmu saa izi.
Yeye anajadili mads kubwa kubwa .
Na kwa jinsi walivyo siku hizi huenda Madam akampa u foreign affair.
 
Ndugu yangu nikuulize Kama Mkataba wa kujenga Bandari ya Bagamoyo UMEUONA. Sembuse KATABA KUBWA HIVYO LA NATO.
Mkataba unaoihusu NATO ni mkataba unaoyahusu mataifa zaidi ya 12 (kwa sasa 30). Ni mkataba wa kimataifa! Unaposainiwa, ni lazima iwe hadharani kwa ridhaa ya mataifa hayo. Huo ni tofauti na mikataba mingine ya madikteta katika nchi zao pekee.
 
Russia is an organised and military strong country, it isn’t a terrorist group which depends on smuggled weapons to fight.

Both NATO and the US will eventually learn this truth the hard way.

And of course, they only have one big weapon which Russia is ready to face with pride, economic sanctions.

Men at work! Bring it on says the no nonsense Russian strongman Vladimir Putin.
 
Angalia ramani ndo utajua hatari iliyopo kwa Ukraine, imezungukwa kila pande kasoro kwenye mpaka wake upande wa Poland.

Kwengine kote huku Putin akisema butua, majitu hayana jeuri
Kainchi maana yake ni kadogo ila ukubwa wa Ukraine ni zaidi ya nchi yoyote ya Ulaya yani ni kubwa sanaaa.
 
Back
Top Bottom