Rais Putin kutangaza usiku huu Russia kutambua rasmi majimbo huru yaliyojitenga ya Donetski na Luhansk

NATO na USA wamepigwa na kitu kizito wanauguliwa maumivu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
 
Putin ni hatari kwa hii dunia. Yaani natamani afe tu. Dictator mkubwa huyu.

Siku ukiuelewa ukweli utajiona mjinga!! NATO inachoifanyia Russia ndcho hicho hicho inazfanyia nchi maskini ikiwepo africa!! Wanaua kila kiongozi ambaye anaonekana anataka kuleta ukombozi kwa nchi yake!!
wanawapandikiza viongozi vibaraka wa ukoloni mamboleo
 
Penye utulivu kwa sasa ni Kyiv na miji mingine yenye Ukrainian ethnicity ambao raia wengi hawaitaki Urusi...Tulitegemea Russia wasipate upinzani wowote sababu hayo majimbo mawili toka mwanzo hayakuwa mikononi mwa serikali ya Ukraine,so Russia wameingia smooth kama walivyoingia Crimea.Shida itakuja pale Russia watapoamua kuivamia Kyiv.
 
Hapa umeongelea mkataba wa mashirikiano kati ya NATO na Urusi ambao hauhusiani na suala la NATO kutoongeza wanachama. Kuna mahali nilieleza humu kuhusu huo mkataba wa mashirikiano ambao uliimarisha uhusiano kati ya pande hizo uliopelekea hadi kufanyika kwa operations mbalimbali za kijeshi pamoja.

Hayo mashirikiano baina ya pande hizo yalikuja kusitishwa mwaka 2014 baada ya mgogoro wa Crimea. Suala la nchi za Ulaya Mashariki kutopaswa kujiunga NATO halikuhusishwa katika mkataba huo na wala hakujawahi kuwa na mkataba wowote ule ambao ulitoa hakikisho kuwa NATO haitopaswa kuongeza wanachama kutoka mataifa ya Ulaya Mashariki.

Hoja ya msingi ni katika hayo makubaliano yanayosemwa bila ushahidi wa kimkataba. Hoja kuhusu usalama inagusa pande nyingi sana. Unafikiri ni kwanini Baltic states pamoja na mataifa mengine yaliyokuwa ndani ya USSR yalichagua kujiunga NATO, tofauti na kubaki kama yalivyokuwa? Unadhani uhusiano kati ya mataifa hayo na Urusi ni sawa na kati ya Mexico na Marekani?
 
Oyaaaaa kimeumana tena huko [emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tim Russia njooni tuwacheke hawa mabwege


Welcome to the new world where Europeans will pay 2,000 euros for a thousand cubic meters of gas", this is how Medvedev reacted to the suspension of the "North Stream 2" certification https://t.co/iK4wQk9YM0
 

Kwa hiyo Africa aiendelei kwasababu marekani anaua makuhani wa Africa wanaojaribu kuwatoa waafrica wenzao utumwani?.
😜😜
na kwa namna yoyote ile huna fact ya kudhibitisha haya madai yako zaidi ya porojo na kushindwa kuwa responsible na maisha yako mwenyewe.
 
Shida unashundwa kuelewa haya mavuguvugu huwa yanatengenezwa. Marekani walitengeneza vuguvugu mwaka 2014 ivyo hata russia haya mavuguvugu anayatengeneza, wahuni wa Cremia, ndo walipomaliza kazi wakaenda kuongeza nguvu donetsk na donbass. Pia washamaliza wanahamishia nguvu jimbo lingine, hii Ukraine itaisha tu ikiendelea na ujinga wake wa NATO
 
Una uhakika na usemacho ama wafuata matango pori unayolishwa na BBC? Aonheze ushawishi una uhakika raia wa Urusi hawamkubali rais wao, fanya uchunguzi kidogo, uchumi wa urusi sio sawa na unavyoambiwa na BBC, raia maisha mazuri tu. Shida unasikiliza waliotuambia tuko uchumi wa kati sisi ndo wanakuambia pia uchumi wa urusi mbovu[emoji28]
 
Kwaiyo yaliyofanywa Libya, Iraq, Syria na yanayoendelea Yemen ni sawa sio?
 
Shida wanaokupa takwimu izo ni wale walituambia tuko uchumi wa kati[emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…