green rajab
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 12,387
- 39,119
NATO na USA wamepigwa na kitu kizito wanauguliwa maumivu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Putin ni hatari kwa hii dunia. Yaani natamani afe tu. Dictator mkubwa huyu.
Penye utulivu kwa sasa ni Kyiv na miji mingine yenye Ukrainian ethnicity ambao raia wengi hawaitaki Urusi...Tulitegemea Russia wasipate upinzani wowote sababu hayo majimbo mawili toka mwanzo hayakuwa mikononi mwa serikali ya Ukraine,so Russia wameingia smooth kama walivyoingia Crimea.Shida itakuja pale Russia watapoamua kuivamia Kyiv.Hamna raia anaweza kukaa kwenye maeneo ya mapambano ya kivita. Tutengeneze kuona wakimbizi wakielekea nchi nyingine tena zile zilizokuwa kwenye USSR.
Mpaka sasa Russia hawajapata upinzani wowote toka ukraine.
Nadhani hayo maeneo yalioyokaliwa ya luhansky na donesky ndio maeneo yaliyo na vinu vya nyuklia.
Hapa umeongelea mkataba wa mashirikiano kati ya NATO na Urusi ambao hauhusiani na suala la NATO kutoongeza wanachama. Kuna mahali nilieleza humu kuhusu huo mkataba wa mashirikiano ambao uliimarisha uhusiano kati ya pande hizo uliopelekea hadi kufanyika kwa operations mbalimbali za kijeshi pamoja.On 27 May 1997, at the NATO Summit in Paris, France, NATO and Russia signed the Founding Act on Mutual Relations, Cooperation and Security, a road map for would-be NATO-Russia cooperation. ... NATO said it had no plans to station nuclear weapons in the new member states or send in new permanent military forces.
Putin hakuwa na mpango wakujiunga na NATO alionya waache kuendelea kujitanua East kumwambia Clinton ilikuwa kuona nia yake ni nini? Russia hawezi kukubali maadui zake waje wawekeze black sea kwa visingizio Ukraine ni NATO. Shida ya yote haya ni Ukraine kutaka kujiunga na NATO kwa maneno ya Putin jana kasema aliambiwa na nchi za NATO kuwa asiwe na wasiwasi hili jambo sio la kesho akawajibu na baada ya kesho? Ni sawa na Russia wakaweke jeshi lao Mexico unadhani USA atakubali? NATO ni jambo jepesi tu ni kusema NATO tuko salama na Russia wako salama wala hatuna haja ya wanachama wapya huko EAST tukae kwa amani lakini wewe kila siku unamsogelea mwenzako tu kwa kisingizio cha kulinda amani zenu ila yeye hana haki ya kulinda nchi yake.
Nimeona pia!Naona hapa Bloomberg Chancelor wa ujerumani ameamuru mradi wa bomba la gas Nord Stream 2 uwe suspended FRANC THE GREAT
sababu unayoijua wewe ni ipi hata US akatia mguu wake ndani ya Kabu?Kwani U.S.A alivamia Afghanistan kwa sababu ipi?
[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] wawatishe nchi yenu sio RussiaNimeona pia!
Siku ukiuelewa ukweli utajiona mjinga!! NATO inachoifanyia Russia ndcho hicho hicho inazfanyia nchi maskini ikiwepo africa!! Wanaua kila kiongozi ambaye anaonekana anataka kuleta ukombozi kwa nchi yake!!
wanawapandikiza viongozi vibaraka wa ukoloni mamboleo
Shida unashundwa kuelewa haya mavuguvugu huwa yanatengenezwa. Marekani walitengeneza vuguvugu mwaka 2014 ivyo hata russia haya mavuguvugu anayatengeneza, wahuni wa Cremia, ndo walipomaliza kazi wakaenda kuongeza nguvu donetsk na donbass. Pia washamaliza wanahamishia nguvu jimbo lingine, hii Ukraine itaisha tu ikiendelea na ujinga wake wa NATOUkraine ethnicity hawataki kuwa upande wa Russia sababu hawaoni faida yake,inekuwa wanataka kuwa upande wa Russia kama watu humu wanavyotaka kutuaminisha,ile Kyiv ingeshachafuka siku nyingi,Russia wanajua weak point ya Ukraine ni ule upande wa East penye Russian ethnicity wengi na ndio wanaoi support Urusi,Siku Russia akirogwa akaivamia Kyiv ndio vita pale itakuwa mbaya sana maana hadi sasa kila raia wa Ukraine amepewa bunduki na kuwa trained kuilinda nchi yao,hiyo vita itakuwa mbaya sana na watu watakufa wengi mno kitu ambacho hata Putin mwenyewe nina uhakika hatotaka kitokee maana hata raia wake wengi hawaungi mkono kuivamia kijeshi Ukraine...
Ukraine kama nchi na raia wake wanataka kuwa upande wa magharibi hao wengine wanaojitenga ni ethnicity inawasumbua to nothing else...
Una uhakika na usemacho ama wafuata matango pori unayolishwa na BBC? Aonheze ushawishi una uhakika raia wa Urusi hawamkubali rais wao, fanya uchunguzi kidogo, uchumi wa urusi sio sawa na unavyoambiwa na BBC, raia maisha mazuri tu. Shida unasikiliza waliotuambia tuko uchumi wa kati sisi ndo wanakuambia pia uchumi wa urusi mbovu[emoji28]Exactly tatizo Russia has nothing to offer in economy ndo changamoto kubwa aliyokua nayo
Putin ni moja wa kiongozi wa ajabu sana yaan Russia ni kubwa sana aachen petty issues, hakuna muwekezaji atakae wekeza Crimea au donbass sababu kumushawekewa vikwazo baada ya mda uchumi utacollapse anachofanya Putin ni ujinga
Putin apambane gdp ikue ndo njia rais ya yeye kuwa na ushawishi
Kwaiyo yaliyofanywa Libya, Iraq, Syria na yanayoendelea Yemen ni sawa sio?Haya siku pia tukisikia USA/Magharibi wanavamia taifa huru kwa kigezo hikihiki cha security concern,tuwe na msimamo huu huu tusigeuze tena shingo tuanze kulaumu na kuwalaani USA,tuwasifie kama tunavyoisifa Urusi leo...Msichokijua hii ni precedent imewekwa,siku utaskia china anaichukua Taiwan kwa nguvu,Utaskia USA anaivamia Cuba kwa kigezo hiki hiki kinachotumiwa na Putin,hakutakuwa na wa kumnyooshea mwenzie kidole,dunia itakuwa imeparaganyika...then there comes WW3.
Shida wanaokupa takwimu izo ni wale walituambia tuko uchumi wa kati[emoji28]Haiwez Rudi sababu ili uwe na ushawishi lazima uwe na nguvu kiuchumi, marekani Ina nguvu sio kwa sababu ya jeshi Bali uchumi wake ni Mkubwa na unainfluence kubwa sana kwenye global economy
Leo hii Russia imezidiwa na gdp na nchi kama Canada, soon ushishangae south Korea au Australia zikimpita, USSR ilikua na nguvu sana kiuchumi ndo Siri ya kuwa na nguvu,
Daah! Umenifanya nicheke sana we mwana[emoji28]Yaani Ukraine yenyewe ipo kama haipo, vurugu zinaendelea juu yake lakini wenyewe na viongozi wao wala hawajitisiki kusema chochote , imezubaa kama raia wa Tanzania.
Basi nyamaza acha kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake.Ni nani amesema USA kuvamia Afghanistani alikuwa sahihi??...Hakuwa sahihi na dunia ilipinga.
Hata Russia hayuko sahihi kuvamia sovereign state,wote ni wakoloni mamboleo nothing else...
Mm natamani wawe wengi mfano wakePutin ni hatari kwa hii dunia. Yaani natamani afe tu. Dictator mkubwa huyu.
Kuna mambo yanasikitisha sanaDaah! Umenifanya nicheke sana we mwana[emoji28]