Rais Putin kutangaza usiku huu Russia kutambua rasmi majimbo huru yaliyojitenga ya Donetski na Luhansk

tulia ww urusi alikuwa na nato yake kama unafuatilia historia waliasini Warsaw pact ambayo ilivunjika 1991 na walisaini mkataba na nato asijitanue east Europe sasa nato wanakiuka makubaliano unataka Putin awachekee
Punguza mahaba ni kweli Russia aliwahi kuomba uwanachama NOTO.
 
Nawe pia propaganda zime kujaa vs mahaba unashindwa hata kuandika hoja.
 
Nataman NATO wampe nafasi Ukraine

Siyo suala la siku moja aisee. Ni mlolongo wa matukio. Na sasa kuna kasoro tayari kwenye mipaka ya Ukraine.

Hivyo siyo rahisi hata kama wangetaka kuikaribisha Ukraine leo. Haiwezekani
 
Mkuu, jaribu sana kutoingiza ushabiki kwenye masuala yenye kuchangamsha akili kama haya.

Hivi, waifahamu GDP ya Russia kwa sasa imesimama vipi?
Mkuu kwenye nchi 10 zenye GDP kubwa Russia ipo kama ipo ni ya ngapi?
 

Hiyo ni Wikipedia, lakini walioko uwanjani hiyo ni mitandao Tu.
 
Nasema hivi Putin atakufa kabla hajaivamia Ukraine. Anajiona yeye ni nani?Nimemsikiliza hotuba yake inaonekana kabisa adui yake ni USA. Si akavamie Alaska huko ?Stupid.
Hakuna kitu unajua ww
 
Mkuu, jaribu sana kutoingiza ushabiki kwenye masuala yenye kuchangamsha akili kama haya.

Hivi, waifahamu GDP ya Russia kwa sasa imesimama vipi?
Naifahamu ndo maana naongea kwa uhakika aipo top ten na imepitwa na Canada kinchi chenye watu million 30+ au unabisha
 
Diplomasia ndo suluhisho pekee la huu mgogoro, sasa nyie endeleeni kukaza vichwa Urusi sio Iraq, Urusi sio Iran. Urusi ni mmoja wa super powers wa dunia hii, hauwezi kumdondosha kwa vikwazo hata siku moja, zaidi mambo yatazidi kuwa magumu upande wao tu na kuifanya Ukraine izidi kumegwa.
 
Anazidiwa kutokana na vigezo walivyo viweka IMF&WB inayomilikiwa na USA au sio?.
USA yenyewe inacho ibeba sasa hivi ni matumizi ya dola -China amisha mpita muda au wewe upo Dunia ya ngapi ndugu.
 
Aliongea Russia kujiunga NATO kwa namna ya kudhihaki,sasa wewe ndugu anavyoelezea ni kana kwamba kweli Russia alitaka kujiunga NATO.

Sasa Russia atajiungaje kwenye muungano ulioindwa na Nchi 28+ kwa lengo la kumdhibiti yeye mwenyewe(Russia)-kutakuwa na umuhimu gani wa huo muungano kama hiyo adaui wenu naye anajiunga?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…