navajo
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 582
- 901
Kumekucha... Break Kiev hiyoo...#BREAKING: #Russia says it will evacuate its diplomatic staff from #Ukraine - @ReutersL
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumekucha... Break Kiev hiyoo...#BREAKING: #Russia says it will evacuate its diplomatic staff from #Ukraine - @ReutersL
Unacheza sasa Hahhaha
Kutisha vipi ? Kwani Hakuna wa TZ wanaosoma Urusi ?Hahaaaa....ety kama Nina MTU urusi nimpigie simu. Umetisha sna
US na shost zake waliishaitumbukiza zamani mbonaYale yale ya Hitler.Putin atatumbukiza dunia kwenye mfarakano wa kutisha . Putin is Hitler reincanated.
PUTIN anajua kuliko wewe kaa kwakutulia kijanaUkraine ethnicity hawataki kuwa upande wa Russia sababu hawaoni faida yake,inekuwa wanataka kuwa upande wa Russia kama watu humu wanavyotaka kutuaminisha,ile Kyiv ingeshachafuka siku nyingi,Russia wanajua weak point ya Ukraine ni ule upande wa East penye Russian ethnicity wengi na ndio wanaoi support Urusi,Siku Russia akirogwa akaivamia Kyiv ndio vita pale itakuwa mbaya sana maana hadi sasa kila raia wa Ukraine amepewa bunduki na kuwa trained kuilinda nchi yao,hiyo vita itakuwa mbaya sana na watu watakufa wengi mno kitu ambacho hata Putin mwenyewe nina uhakika hatotaka kitokee maana hata raia wake wengi hawaungi mkono kuivamia kijeshi Ukraine...
Ukraine kama nchi na raia wake wanataka kuwa upande wa magharibi hao wengine wanaojitenga ni ethnicity inawasumbua to nothing else...
kuhusiana na ushawishi anao wautosha sana nandio maana NATO wamepoa na jamaa anapata sapot yakutosha huko MOSCOWExactly tatizo Russia has nothing to offer in economy ndo changamoto kubwa aliyokua nayo
Putin ni moja wa kiongozi wa ajabu sana yaan Russia ni kubwa sana aachen petty issues, hakuna muwekezaji atakae wekeza Crimea au donbass sababu kumushawekewa vikwazo baada ya mda uchumi utacollapse anachofanya Putin ni ujinga
Putin apambane gdp ikue ndo njia rais ya yeye kuwa na ushawishi
Usikie marangapi kwa US nakama hujawahi kusikia hutakaa usikie tena mpaka unakufaHaya siku pia tukisikia USA/Magharibi wanavamia taifa huru kwa kigezo hikihiki cha security concern,tuwe na msimamo huu huu tusigeuze tena shingo tuanze kulaumu na kuwalaani USA,tuwasifie kama tunavyoisifa Urusi leo...Msichokijua hii ni precedent imewekwa,siku utaskia china anaichukua Taiwan kwa nguvu,Utaskia USA anaivamia Cuba kwa kigezo hiki hiki kinachotumiwa na Putin,hakutakuwa na wa kumnyooshea mwenzie kidole,dunia itakuwa imeparaganyika...then there comes WW3.
sio mbaya muhimu pamewekezwa nandio lengo kuuAtauzia matajiri wa mafuta na gas washkaji zake wawekeze hotels na beach kama alivyowauzia kule Crimea nothing more...
Putin ni mwehu sana. Anajiamini mnoOk mkuu weye endelea kuamini hivyo.
Ila Russia muziki wake USA hauwezi.
Alifanya hivyo, Syria na sasa ni Ukraine.
USA atakaa akiangalia tu.
There were supposed to watch (closely) the rise of Vladmir Putin.
muamini PUTIN yeyote kwenye siasa PUTIN hajawahi na hatawahi kusema uongo maana kusema uongo kwake ni mwikoNimesema mkataba uwekwe hadharani ili dunia iuone. Dunia ikishauona, humu JF utafika pia!
Walipewa ahadi bila mkataba?!
Makubaliano katika masuala mbalimbali na muhimu ya kimataifa kama suala hilo huwa hayaishii kwenye mazungumzo bila ya mkataba.
Putin anajaribu kushawishi watu hasa umma wa Warusi kuwa kulikuwa na makubaliano hayo, lakini anazungumza maneno matupu. Kama huo mkataba ungekuwepo, unafikiri kungekuwa na haja ya kushawishi watu kwa maneno tu?
Tunawezaje kuamini maneno matupu tu kwamba kulikuwa na makubaliano, kwamba Urusi iliomba [rasmi] kujiunga NATO mwaka 2000? Haya ni masuala ya kuzungumza tu kwenye media bila ya backup ya uthibitisho?
Hilo suala la Urusi kujiunga NATO liliwahi kuibuliwa miaka ya nyuma na huyuhuyu Vladimir Putin kwenye interview na vyombo vya habari, ni vile tu watu huwa hamfuatilii taarifa vizuri.
Kwa maneno yake mwenyewe, aliwahi kusema kuwa Clinton alikubali hilo pendekezo la Urusi kujiunga na NATO ingawa halikuwa ombi rasmi kwa sababu suala la kujiunga NATO lina mchakato mrefu sana. Leo akisema kuwa hakujibiwa, tuamini lipi? Na tumuamini Putin yupi? Huyu wa jana ama wa hapo kabla?!
CHINA kuivamia TAIWAN nisahihi ila US kuivamia CUBA sio sahihi nahatakama itakua sahihi huo uwezo hana nahatakaa ajaribuPutin anajua kucheza na maneno kuhalalisha misimamo yake,watu humu wanamuona kama Mungu mtu,kwamba kila anachokisema kuhusu west ni sahihi,...
Ila wajue tu Putin amesha set precedence,kesho tusishangae kusikia China ameivamia Taiwan kimabavu au marekani imeivamia Cuba far same same reason,....security concern...
Putin na vitabia vya kijinga sana ila atafanyiziwa na USA mpaka ataomba poo sema ana matabia yake kama ya Kagame kuua watu.Namsikiliza hapa. Yaani kinachomuudhi ni Ukraine kuwa na urafiki wa karibu na USA.
Kama ya Magufuli ya kujenga bwawa na kujenga uwanja Chato.Maamuzi magumu "kwa maslahi ya taifa" kama yale ya Hitler yaliyochochea Vita ya Pili ya Dunia?!
kama kawaida yenu kumezeshwa propaganda heheheWatabweka wanyonge wa Urusi kwani shares zinaanguka vibaya juzi Tu paketi ya maziwa ilikuwa rubel 50 ,Jana 60 sijui leo itafika ngapi.
Wazee wenye nchi hawajali
Kuiruhusu urusi ndani ya NATO ni kuongeza ushawishi wa Urusi na kuipa tabu na shida USA ya ukiranja mule ndani.Kumbe Urusi ilishakataliwa kujoin NATO?Naona Putin anatema cheche. Wao walikataliwa ila why nchi jirani na yeye zinakubaliwa ?Kazi ipo.
NATO yake inaitwa CSTO zipo nchi kama BELARUSI, KYRIGSTAN, UZBEKISTAN, TAJIKSTAN, ARMENIA, KAZAKSTAN, MONGOLIA, ARZEBAIJANI MUALIKWA ila Kuna mkataba wameingia sio siku nyingitulia ww urusi alikuwa na nato yake kama unafuatilia historia waliasini Warsaw pact ambayo ilivunjika 1991 na walisaini mkataba na nato asijitanue east Europe sasa nato wanakiuka makubaliano unataka Putin awachekee
Walihakikishiwa kwa mdomo Stupid Gorbachev na mlevi Yeltisin ila NATOwanafanya kinyume na unachosema ndio wanachokisema NATO ila upo ushahidi wa video tafutaHuo mkataba uliosainiwa ili "NATO isijitanue" uko wapi?
Mbona hauwekwi hadharani dunia ikapata kuuona?
Hii hoja kwamba "NATO walikubaliana na Urusi" imeshamiri sana humu hasa kipindi hiki. Ingependeza sana kama hoja hiyo ingeambatanishwa na uthibitisho wa mkataba huo!
Yeye jamaa kachukulia kama anataka kweli, wakati inajionyesha jamaa anadhiki [emoji16]Aliongea Russia kujiunga NATO kwa namna ya kudhihaki,sasa wewe ndugu anavyoelezea ni kana kwamba kweli Russia alitaka kujiunga NATO.
Sasa Russia atajiungaje kwenye muungano ulioindwa na Nchi 28+ kwa lengo la kumdhibiti yeye mwenyewe(Russia)-kutakuwa na umuhimu gani wa huo muungano kama hiyo adaui wenu naye anajiunga?.
Kweli brother eti Tanzania Ina uchumi mkubwa kuliko North Korea?Mkuu waache waendelee kuamini uchumi wa Urusi ni mbovu mana anayewaaminisha ndo katuaminisha pia kuwa tuko uchumi wa kati[emoji28]