Rais Putin kutangaza usiku huu Russia kutambua rasmi majimbo huru yaliyojitenga ya Donetski na Luhansk

ww usichanganye mambo urusi anamuunga mkono Serbia sio Kosovo ilikuwa ndani ya Serbia vita ya juzi tu nazani 2008 ndo wakajitenga pia urusi anaunga mkono Bosnia serb wale ambao wapo Bosnia and herzigovona ambano nao wanataka kujitenga.
Naelewa yote hayo ila hawa wote namaanisha walikua Yugoslavia
 
Anataka kuutumia huo "uhuru" wa hayo majimbo kama 'trigger' ama kisingizio cha kuivamia Ukraine?!

Kwamba, Urusi itapeleka majeshi yake katika maeneo hayo kama "msaada wa kibinadamu" dhidi ya majeshi ya Ukraine?!

OK!
Ukraine kayataka mwenyewe anadanganywa na hao west kuepusha vita Putin apewe tu hayo maeneo kama walivyompa Hitler sudetenland
 
Hongera sana Putin, Mungu akubariki Mungu akubariki tena na tena, tunataka viongozi kama hawa ili heshima iwepo dhidi ya hawa madhalim waliokua na damu za mamilioni ya watu [emoji120]
 
Ndugu yangu nikuulize Kama Mkataba wa kujenga Bandari ya Bagamoyo UMEUONA. Sembuse KATABA KUBWA HIVYO LA NATO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…