Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Duuu ngumu kuamini mkuu us dolla bn200 au Tsh bn200 ?Phoenix news wametoa taarifa ya kushangaza kuwa Puttin ni Rais wa kwanza tajiri duniani akiwa na mali zenye thamani za Us dolar bilion 200. Hi ikijumuisha pesa taslim na mali nyinginezo.
Trump ana mali zenye ya Us dolar bilion 3.1. Nimeshangazwa Sana na utajiri wa Puttin ambaye biashara zake hazipo wazi kama Trump.
Kuna uzi wa Habibu B. Anga unaelezea kuhusu utajiri wa Roman Abramovich - Wikipedia,pia namna mali za umma zilivyokuwa zinauzwa kwa bei chee baada ya kuanguka kwa USSR.Phoenix news wametoa taarifa ya kushangaza kuwa Puttin ni Rais wa kwanza tajiri duniani akiwa na mali zenye thamani za Us dolar bilion 200. Hi ikijumuisha pesa taslim na mali nyinginezo.
Trump ana mali zenye ya Us dolar bilion 3.1. Nimeshangazwa Sana na utajiri wa Puttin ambaye biashara zake hazipo wazi kama Trump.
BilionDuuu ngumu kuamini mkuu us dolla bn200 au Tsh bn200 ?
Duuu!!!!!! Urusi unaifananisha na shitholes? Bila Shaka haujajitendea haki.... ndio huyo anabadili katiba atawale hadi mauti itakapomchukua! Urusi haina tofauti na shitholes!
mbona kwenye Forbes rich list hayumo?Phoenix news wametoa taarifa ya kushangaza kuwa Puttin ni Rais wa kwanza tajiri duniani akiwa na mali zenye thamani za Us dolar bilion 200. Hi ikijumuisha pesa taslim na mali nyinginezo.
Trump ana mali zenye ya Us dolar bilion 3.1. Nimeshangazwa Sana na utajiri wa Puttin ambaye biashara zake hazipo wazi kama Trump.
... sorry; when it comes to democracy Chief. Yaani mtu mmoja anaweza kuwaghilibu mamilioni ya wananchi wabadili katiba ili yeye aendelee kutawala! Hivi Urusi yenye karibu 200 million citizens haina mtu mwingine wa kuwaongoza isipokuwa Putin? Huyo Putin ana mkataba na Mungu kwamba ataishi hadi lini? Kama terms zake zimeisha kwanini asiachie wengine? Yeye; yeye; yeye!Duuu!!!!!! Urusi unaifananisha na shitholes? Bila Shaka haujajitendea haki.
Inapendeza kuifanya demokrasia kulingana na mazingira ya nchi husika,nchi za ulaya hata hao us demokrasia zao hazifanan na km uliisoma hist ya urus au ussr mambo hayo kawaida sana hakuna jipya hapo.... sorry; when it comes to democracy Chief. Yaani mtu mmoja anaweza kuwaghilibu mamilioni ya wananchi wabadili katiba ili yeye aendelee kutawala! Hivi Urusi yenye karibu 200 million citizens haina mtu mwingine wa kuwaongoza isipokuwa Putin? Huyo Putin ana mkataba na Mungu kwamba ataishi hadi lini? Kama terms zake zimeisha kwanini asiachie wengine? Yeye; yeye; yeye!
Kama wamechukia wameze bogaBiashara gani hizo ambazo hazipo wazi ila hao phoenix wamezijua hadi gharama zake? Hizo ni propaganda tu maana ndio hivyo tena Putin kashinda kura ya maoni kuendelea kuongoza taifa kubwa la Russia.
Mpaka mwaka 2036Biashara gani hizo ambazo hazipo wazi ila hao phoenix wamezijua hadi gharama zake? Hizo ni propaganda tu maana ndio hivyo tena Putin kashinda kura ya maoni kuendelea kuongoza taifa kubwa la Russia.
Kwani UK haina mtu mwengine wakua MALKI ?! [emoji12][emoji14][emoji12]... sorry; when it comes to democracy Chief. Yaani mtu mmoja anaweza kuwaghilibu mamilioni ya wananchi wabadili katiba ili yeye aendelee kutawala! Hivi Urusi yenye karibu 200 million citizens haina mtu mwingine wa kuwaongoza isipokuwa Putin? Huyo Putin ana mkataba na Mungu kwamba ataishi hadi lini? Kama terms zake zimeisha kwanini asiachie wengine? Yeye; yeye; yeye!