Hizi propaganda ya maji taka zenye lengo la kumchafua Putin Duniani, na ukijaribu kuzichunguza kwa umakini utaguduwa kwamba zimehibuliwa baada ya Putin kupata kura nyingi za maoni zinazo mpa mamlaka ya kufanyia marekebisho ya katiba ili aongoze Urusi mpaka atakapo choka - sasa mabadiriko hayo Mataifa ya magharibi hawayapendi hata kidogo,wanataka Urusi iongozwe na Rais mwenye akili matope kama alivyo kuwa Boris Yeltisin ili Urusi isambalatike kwa mara nyingine tena hisiwe tishio kijeshi kwa NATO members specifically USA.g