Rais Putin ndiye Rais wa kwanza tajiri duniani akiwa na Mali ya thamani ya Us dolar bil 200

Rais Putin ndiye Rais wa kwanza tajiri duniani akiwa na Mali ya thamani ya Us dolar bil 200

Putin is the World richest president in history.. It is true, ana around $ 200 bil in total cash & assets
 
mbona kwenye Forbes rich list hayumo?
tajiri kubwa Jeff Bezos hata 170B hajafikisha.
au ni taarifa ya vijigazeti labda!
Sababu "vigezo na masharti" huzingatiwa.

Utajiri wake haujakidhi "vigezo na masharti".
 
Phoenix news wametoa taarifa ya kushangaza kuwa Puttin ni Rais wa kwanza tajiri duniani akiwa na mali zenye thamani za Us dolar bilion 200. Hi ikijumuisha pesa taslim na mali nyinginezo.

Trump ana mali zenye ya Us dolar bilion 3.1. Nimeshangazwa Sana na utajiri wa Puttin ambaye biashara zake hazipo wazi kama Trump.
Trump n rais wa 6 dunia kwa utajiri.
 
Hizi namba mkuu twaziandika tu, kuna wakati waweza jiukiza fedha zote hizi mtu anafanyia nini?
Acha tu mkuu, mtu mmoja anamiliki bajeti ya nchi kadhaa za dunia ya tatu.

Yaani ana uwezo wa kuziendesha kwa pesa yake mwenyewe.
 
Phoenix news wametoa taarifa ya kushangaza kuwa Puttin ni Rais wa kwanza tajiri duniani akiwa na mali zenye thamani za Us dolar bilion 200. Hi ikijumuisha pesa taslim na mali nyinginezo.

Trump ana mali zenye ya Us dolar bilion 3.1. Nimeshangazwa Sana na utajiri wa Puttin ambaye biashara zake hazipo wazi kama Trump.

Just imagine, Communist Russia cum Communist China are now producers of most of billionaires in the world, second to none! They have abandoned the ‘communism, socialism ideology which they imposed in the world and the countries which are still clinging to socialism, communism are dying slowly- Venezuela, North Korea and Cuba! The best type of socialism is found in the Scandinavian countries! Mapebari na mafisadi sasa wapo China na Russia!
 
mbona kwenye Forbes rich list hayumo?
tajiri kubwa Jeff Bezos hata 170B hajafikisha.
au ni taarifa ya vijigazeti labda!
Kaka hata wale matajiri wa Kiarabu hawawekwi kwenye hiyo list lakini inawezekana wapo wenye pesa ndefu zaidi ya Bezos na wenzie.

Hela chafu haitangazwi kwa umma.
 
Back
Top Bottom