Rais Ramaphosa akataa Rapa AKA kufanyiwa mazishi ya Kitaifa

Upo sahihi,na mimi nilikuwa nazungumzia matendo,kitendo cha kuimba music na kuajiri watanzania ni jambo kubwa
Bado sio kigezo, kwa hiyo matajiri wote wamiliki wa makampuni na viwanda wanastahili heshima hiyo?
 
yaani hawa wahuni wanaoharibu kizazi chetu wakifa wazikwe kitaifa ?

huyo gavana akapimwe mkojo p...mbavu zake

safi sana Rais ana akili kubwa sio kama wetu eti kila goli analipa milioni 5 yaani amekua pedeshee Samia 😏
 
Kwa lipi hasa? Huyu jamaa anaweza kuwa iconic hapo bondeni kumzidi Lucky Dube, Brenda,Hugh Masekela au Joe Mafela? Kwa kutaja kwa uchache?
 
Mbona ni mzungu,au🤣🤣🤣🤣🤣.

Hastahili hadhi hiyo jamani,japo bendera ingefunikwa kwenye jeneza Kama mtu maarufu na anajulikana ba wengi,Ila sio Bendera kupepea nusu mlingoti.
 
Hapo kwenye bendera kupepea nusu mlingoti ndo changamoto ilipotokea.
 
AKA alikua anamchana live huyu rais, swala la kumgomea gavana ilikua halikwepeki.

Na mnaoanza kufananisha sjui Lucky Dube, mara Chaka Chaka mjue zama zinabadilika. Kila mmoja ana ukubwa wake kwa zama zake.

Mwamba alikua balozi mzuri wa nchi yake, wasingepungukiwa kitu kumfunika na bendera ya taifa.

R.I.P SUPER MEGA
 
Umeandika vizuri.... Tatizo mwandiko tu! Weka japo paragraph..
 
Nope!

Mimi hata nikiwa na ndugu star siwezi kulazimisha azikwe kitaifa coz siioni faida yoyote au hasara kwamba azikwe na serikali au jamii ndugu tukiwepo.
Umeongea point hakuna faida yeyote ile ya mtu kuzikwa kitaifa haitabadilisha outcome kama amefariki, binafsi sio faida hata ya mtu kulazimisha azikwe na kanisa
 
Hv aka na lucky dube yupi alitangaza sana nchi mbona dube hazikupepea nusu mlingoti
 
Nilikuwa nazungumzia Arts kwa ujumla,sio AKA, maana niliona jamaa kama anaona wanamuziki wakipewa state funeral ni nongwa
Weee usitake kujikomba hapa,
Nimemzungumzia AKA na nikasema amefanya yapi kwa taifa lake wewe ndio umekurupuka kwa kuweka watu wengine,

Kiufupi umeweka ujuaji sehemu isiyotakiwa ujuaji na ukielekezwa elekea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…