Rais Ruto aagiza Polisi kuwapiga risasi za Miguuni Waandamanaji wanaoharibu biashara za watu

Rais wa Kenya William Ruto ameapa kutumia ''mbinu zozote zinazohitajika'' kuhakikisha amani na utulivu inadumishwa nchini.
 
Bora hao wanauliwa wenye kuleta ujinga kwa kufanya uhalifu ila sisi huku wanauwa na kuteka bila hata kufanya uhalifu.
 
Watanganyika wanaosifia kila kitu cha Kenya watasifia hata hili. Watakwambia hii ndo democracy; raia kuchoma mali na vurugu kila siku na rais kuamuru wapigwe risasi.
 

Makwetu hata mtu kupakwa mafuta nayo imo!
 
Demokrasia iliyopo Kenya hata Canada, US na France hawana na hawajawahi kuwa nayo

Shida yao sio Democrasia, Ni ukabila na Umaskini wa Vijana. Kenya is purely capotalist na Sehemu kubwa ya land imakaliwa na Familia chache za kina Ruto na Kenyata hivyo kufanya maisha ya vijana kua hoe hae.

Ukiona kundi la vijana wanaharibu ardhi yao, Ujue hawana Matumaini tena, They have nothing to lose
 
Ni haki ya wananchi maana viongozi watakuwa na displine
 
Kwa nini Katiba Mpya haijaondoa hayo? Si tulikubaliana Katiba Mpya ndio Kila kitu au?
 

View: https://www.instagram.com/p/DL4BOO5CRfM/?igsh=djhsM2M0Nmg2eXB2
 

Nchi yao ndio ina demokrasia kubwa EA, na demokrasia yao ni kama ya marekani. Risasi za nin tena?🤣
 
Ndio amejua leo kwamba yeye ni rais?

Hili agizo angetoa kabla mbona leo wangekuwa na amani tu

Ila hajasema wauawe, wavunjwe miguu tu😇😇😇😇🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…