huyu bwana aliingia ikulu kwa karatasi kutumbukizwa kwenye debe sasa unatawala watu kwa mtutu wa bunduki, sasa yeye na M7 na PAKA tofauti iko wapi? hasla ndo wali support rutto kwanini nayeye asi support? wakisema aende home then you go that ist,
Kweli kabisa, kwasababu wengine watapiga kifuani kisha watasema walilenga miguuni kama Rais alivyotoa amri ila risasi zikaenda vifuani na tumboni.Inabidi mapolisi wote wawe very sharp shooters - ili risasi kweli ziingie miguuni tu!