E eddy JF-Expert Member Joined Dec 26, 2007 Posts 17,079 Reaction score 12,312 Jul 10, 2025 #41 huyu bwana aliingia ikulu kwa karatasi kutumbukizwa kwenye debe sasa unatawala watu kwa mtutu wa bunduki, sasa yeye na M7 na PAKA tofauti iko wapi? hasla ndo wali support rutto kwanini nayeye asi support? wakisema aende home then you go that ist,
huyu bwana aliingia ikulu kwa karatasi kutumbukizwa kwenye debe sasa unatawala watu kwa mtutu wa bunduki, sasa yeye na M7 na PAKA tofauti iko wapi? hasla ndo wali support rutto kwanini nayeye asi support? wakisema aende home then you go that ist,
Revolution JF-Expert Member Joined Feb 28, 2008 Posts 1,436 Reaction score 1,769 Jul 12, 2025 #42 pmwasyoke said: Inabidi mapolisi wote wawe very sharp shooters - ili risasi kweli ziingie miguuni tu! Click to expand... Kweli kabisa, kwasababu wengine watapiga kifuani kisha watasema walilenga miguuni kama Rais alivyotoa amri ila risasi zikaenda vifuani na tumboni. Ukiwa na hasira usiongee na ukiwa na furaha usiahidi.
pmwasyoke said: Inabidi mapolisi wote wawe very sharp shooters - ili risasi kweli ziingie miguuni tu! Click to expand... Kweli kabisa, kwasababu wengine watapiga kifuani kisha watasema walilenga miguuni kama Rais alivyotoa amri ila risasi zikaenda vifuani na tumboni. Ukiwa na hasira usiongee na ukiwa na furaha usiahidi.
Tuna JF-Expert Member Joined Jan 21, 2019 Posts 1,823 Reaction score 2,476 Jul 13, 2025 #43 Hao Wakenya inabidi watandikwe risasi za kiunoni kuja juu siyo miguuni