Rais wa Kenya, William Ruto, amesema Kenya inalaani vikali mashambulizi yaliyofanyika dhidi ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), Qatar, Saudi Arabia, Iraq, Oman, Kuwait, Jordan na Bahrain katika mzozo unaoendelea kuongezeka Mashariki ya Kati.
Amesema ni wazi kuwa kuenea kwa mzozo huo katika ukanda mzima kunaleta tishio kubwa kwa amani na usalama wa kimataifa. Katika kipindi hiki nyeti na hatari katika historia ya dunia, taasisi za muda mrefu za ushirikiano wa kimataifa zinaendelea kuwa mifumo muhimu katika kutafuta suluhisho la mgogoro wa sasa Mashariki ya Kati.
Kenya imetoa wito wa kufanyika kwa haraka kwa majadiliano yanayoshirikisha wadau mbalimbali ili kupunguza mvutano na kurejesha hali ya utulivu.