Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,205
- 33,287
Anataka kaziAnataka nn kwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anataka kaziAnataka nn kwa?
Raila ana nguvu sana Kenya, Ruto ameona hili kaamua kutafuta solution mapema.
Ila jamaa ana njaa sana ya uongoziyeye ndo chanzo kenya kuwa hivyoo uhuru na ruto wanamjua vyema.
Hiyo nguvu kampa mwenyewe. Rais huwezi shindwa nguvu na kiumbe ndani ya nchi yako that's a fact. Jiwe alisema yeye ndo rais na rais ni mmoja tu watu wazunguke kote mwishoe watarudi kwake na ilikua hivyo. Ruto ni dhaifu