Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Wanyama ndio wamebarikiwa kila kitu kwetu
Sisi tunashindwa hata nyuki tutaweza kushindana na binadamu?
Wao kenya wameanza kilimo cha umwagiliaji miaka mingi sana iliyopita ndio maana mbogamboga nyingi na matunda zinaenda kila mahali
Chai yao mpaka supermarkets za Ulaya zimejaa
Sisi hata packaging 📦 tu Kikwete alituma vijana kwenda kujifunza Kenya, ni aibu iliyoje?
Rasilimali hizo mlizonazo, mapori yamekaa tu yanaota nyasi badala ya chakula cha kupeleka nje
Kweli akili zetu tunazijua wenyewe
Na tusilaumu mtu wala mfumo bali ni sisi wenyewe
Tupige makofi kwa ujinga