Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekuwekea source ya taarifa hiyo. Argue based na taarifa zao. Siyo kubisha tu kwa kudharau kwa vile wewe na familia yako ni dhaifu basi Watanzania wote ni dhaifuMkuu unaota???
Kwa hesabu gani???
Miaka 60 ya sasa, miaka halisi, achana na miaka 100 ya kufikirika, ukubwa wa uchumi wetu Tanzania haujafikia hata robo ya trilioni dollar!!
Mkuu kwa muujiza gani miaka 40 iliyobaki tufikie trilioni dollar 4.6 kwa ongezeko kubwa la watu namna hiyo!!!
Haiko kwenye familia yako na ukoo wako tu. Usituingize sisi wenye akili zetu humoMkuu umepigilia msumari penyewe, na hii ndio rasilimali tusiyokuwa nayo Tanzania!!
Stories based on unreliable softwares. Nenda kwenye websites za taasisi za kitaalam za kiuchumi. Siyo hao yahoo. Ukiplug tu number kwenye software bila ya kuangalia mambo mengi ya msingi unaishia na matokeo ya ajabu.
Labda wakoloni warudi tena lol.Mkuu kwa muujiza gani miaka 40 iliyobaki tufikie trilioni dollar 4.6 kwa ongezeko kubwa la watu namna hiyo!!!
Hata leo Kenya haiizidi Tanzania kwa raslimali. Tanzania iko kwenye top 10 ya AfricaRuto anaongelea leo halaf wewe unaongelea mambo ya miaka 2100?
Hapo ndipo tuonekanapo wajinga
South Africa wamepewa Bahari na Madini,sisi tunamiliki pikipiki & chawa wa kutosha.NI kweli tumebarikiwa kila kitu ila rasilimali zetu hatumiliki sisi mfano gesi ccm iliikabidhi kwa mchina na juzijuzi ccm ikakabidhi bandari kwa mwarabu.