johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #21
Hapo Ufipa st ni Sugu pekeeWanaojua Kingereza ndani ya CCM ni watu wachache sana. Thesis ya PhD ya Mwigulu Nchemba inathibisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo Ufipa st ni Sugu pekeeWanaojua Kingereza ndani ya CCM ni watu wachache sana. Thesis ya PhD ya Mwigulu Nchemba inathibisha
Sio Kingereza ni Kiingereza, hata PUTIN hajui Kiingereza au sio ! !Magu alikuwa mbele ya muda uliopo mzee hata mipaka 10 hujavuka mwenzio kafanya Thesis Uingereza zaidi ya mwaka, EMANCIPATE YOURSELF FROM MENTAL SLAVERY NONE BUT OURSELVES CAN FREE OUR MINDSKwani ni uongo kuwa alikuwa hajui Kingereza.....!!?
Pumbavu kabisa siyo zahabu, sema dhahabu.Hata Zahabu ni mali zetu ndio maana tunakula mirahaba.
ApiaHapo Ufipa st ni Sugu pekee
Sio Kingereza ni Kiingereza, hata PUTIN hajui Kiingereza au sio ! !Magu alikuwa mbele ya muda uliopo mzee hata mipaka 10 hujavuka mwenzio kafanya Thesis Uingereza zaidi ya mwaka, EMANCIPATE YOURSELF FROM MENTAL SLAVERY NONE BUT OURSELVES CAN FREE OUR MINDS
But ukitaka zungumzia kiingereza Marais ambai walikuwa wanazungumza kiingereza vizuri ni wawili tu Tanzania. 1. Nyerere 2. Mkapa. Hawa walikuwa wanazungumza kiingereza cha ukweli. Wengine wote hamna kitu. Wanazungumza kiingereza cha kiswahili.Huo ni ukweli jiwe lugha ilikuwa haipandi, na kingereza kingekuwa Ni mtu, jiwe angekipa kesi ya utakatishaji wallah!
Kingefia segerea
But wazungu hawamcheki mtu kwa kuzungumza kiingereza broken. Sababu hata wao hawafahamu kiswahili au wanazungumza broken. Mi nadhani kwa suala la lugha ni Utumwa ndo tatizo. Mi nafahamu Kiingereza, Kiswahili,Kispaniola na lugha mbili za Kibantu. But here i am...nipo humu nimechanganyika na vilaza mbalimbali... Sijawahi hata kuwa Diwani.Nahisi huko uingereza alikuwa akiongea kiingereza alikuwa anageuka kichekesho cha karne.
Hao wawili uliowataja ujamuweka Kikwete sababu sio mvaa rozali mwenzioBut ukitaka zungumzia kiingereza Marais ambai walikuwa wanazungumza kiingereza vizuri ni wawili tu Tanzania. 1. Nyerere 2. Mkapa. Hawa walikuwa wanazungumza kiingereza cha ukweli. Wengine wote hamna kitu. Wanazungumza kiingereza cha kiswahili.
Mimi nina mtoto wangu anazungumza kiingereza kama Mmarekani...lakini ni mtoto si hata Mbunge...😁
Gesi ya Mtwara sio yetu, na tutakao safirisha sio sisi, Sisi tutajenga miundombinu ya usafirishaji na baadae tutapewa mirahaba kwa kadri ya wenye gesi watakavyoamua...Gesi ya mtwara ni Mali yetu? Nauliza tu!!!
Ninahisi wizara aliyotokea kabla ya kuwa Rais ilikuwa haimpi muda wa kukutana na foreign dignitaries mara kwa mara kama ilivyokuwa kwa Mzee Mkapa na Membe kule foreign affairs.Huo ni ukweli jiwe lugha ilikuwa haipandi, na kingereza kingekuwa Ni mtu, jiwe angekipa kesi ya utakatishaji wallah!
Kingefia segerea
Babaako anajua aliyekufa kapuku anajua kuongea Kiinglishi?Kwani ni uongo kuwa alikuwa hajui Kingereza.....!!?
Kumbe hujui kiingereza ni kilaza. Yaani unamuona kikwete anajua kiingereza? We kweli kilaza. Utakuwa umeishia madarasa tu.😁 Lugha yenyewe ni ya wavaa rozari. Yaani unataka kujivunia lugha ya wavaa rozari na unataka watu wazungumze vizuri wewe una akili kweli? 😳Hao wawili uliowataja ujamuweka Kikwete sababu sio mvaa rozali mwenzio
😂🤣😅😆😁😁😄😃😃Hili Neno Lilimsumbua Mzilankende Kulitamka "Enterpenuership " Akasema Tu Hiyo HiyoKwani ni uongo kuwa alikuwa hajui Kingereza.....!!?
Siwezi kukujibu, we Kwanza Ni Gay, mwanaume hawezi kuweka emoj kibaoo , rubbish kabisaKumbe hujui kiingereza ni kilaza. Yaani unamuona kikwete anajua kiingereza? We kweli kilaza. Utakuwa umeishia madarasa tu.😁 Lugha yenyewe ni ya wavaa rozari. Yaani unataka kujivunia lugha ya wavaa rozari na unataka watu wazungumze vizuri wewe una akili kweli? 😳
Umenishtua nmegundua umekujaa ukilaza sana. Kikwete hajawahi kukifahamu kiingereza. Huwa anazungumza kiswanglish. Tofauti ya Magufuli na Kikwete ni kuwa Magufuli kaathiriwa na lafudhi ya Kisukuma. Kikwete ana lafudhi ya Kiswahili.
Mi nlidhani utakuwa na akili kumbe ni makubazi tu yamejaa kichwani....🤣 Kujipendekeza na kusifia lugha ya kibeberu. Sasa unachukia wavaa rozari ila unataka uzungumze lugha yao kwa ufasaha? Wewe ni maamuma, halafu majnuni.
Kiarabu tunakuita Al Mujnan... Maamuma.🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mawaziri waliopitia foreign service wanajua sana kiingereza. Hata mama Mulamula yupo vizuri sana kwenye hii lugha.But ukitaka zungumzia kiingereza Marais ambai walikuwa wanazungumza kiingereza vizuri ni wawili tu Tanzania. 1. Nyerere 2. Mkapa. Hawa walikuwa wanazungumza kiingereza cha ukweli. Wengine wote hamna kitu. Wanazungumza kiingereza cha kiswahili.
Mimi nina mtoto wangu anazungumza kiingereza kama Mmarekani...lakini ni mtoto si hata Mbunge...😁
Nimegundua ni kilaza na hujielewi... Unataka kujua lugha ya wavaa rozari...na unataka kikwete aonekane anajua lugha ya wavaa rozari? Hapo nimegundua nachat na shoger maana hata halijui linataka nini. 🤣 Mashoga huwa yanajichanganya. Yanataka yaonekane ni wanawake lakini ukiliangalia lina uume. Ndo wewe ulivyo. Yaani unawachukia wavaa rozari ila unataka sisi wavaa kobazi tuzungumze vizuri lugha yao? 😳😳😳 Huo ndo ushoger asilimia 100.Siwezi kukujibu, we Kwanza Ni Gay, mwanaume hawezi kuweka emoj kibaoo , rubbish kabisa