Rais Ruto aomba ahutubie kwa Kiingereza baadhi ya mawaziri waomba ahutubie kwa Kiswahili, Gesi ya Mtwara kufika Kenya!

[emoji23][emoji1787][emoji28][emoji38][emoji16][emoji16][emoji1][emoji2][emoji2]Hili Neno Lilimsumbua Mzilankende Kulitamka "Enterpenuership " Akasema Tu Hiyo Hiyo

Pia wewe ni kilaza maana hizo spelling za hilo neno hakuna kwenye dictionary!
 
Mawaziri waliopitia foreign service wanajua sana kiingereza. Hata mama Mulamula yupo vizuri sana kwenye hii lugha.
Mama mulamula pia ni mzuri sababu kuna kitu kitaalamu tunaita Language Intelligence. Si kila mtu anakuwa nacho.

Kikwete amefanya kazi kama waziri wa mambo ya nje but bado hakuweza kifahamu kiingereza. Magufuli alikuwa na akili katika masomo yake lakini hakuwa na akili ya lugha.

Kuna watu wana akili ya lugha but wabovu wa hesabu and the vice versa is true. So mimi simlaumu Magufuli kwa kutojua Kiingereza. Nitamlaumu kwa kutojua Kisukuma vizuri (amezaliwa na kukulia huko)

Kama nitamlaumu Kikwete. Nitamlaumu kama hajui Kiswahili vizuri. Amezaliwa na kukulia katika hiki.
 
Safi sana mkuu. Unaongea logic sana
 
Safi sana mkuu. Unaongea logic sana
Nashukuru umeongea na tumejadiliana kisomi. Shida tu ni kuwa miaka hii wamejaa watoto humu wanasababisha sisi wenye akili tusionane mara kwa mara. Mmoja kule juu anaona mimi ku mu appreciate Nyerere na Mkapa ni sababu wanavaa rozari. But hajui Dini yangu ni ipi ila tayari ana hukumu kwa misingi ya Dini.

Kuna kipindi flani alikuwepo Mbunge toka Lindi au Mtwara. Alikuwa ana PHD na Mlemavu wa ngozi kama unamkumbuka. Huwezi mtamani kumsikiliza akiwa anaongea.... Hajui kuongea. But ni kwa nini? Hakuwa na kipaji hicho cha kuzungumza. Kumbuka pia ni kutoka Pwani.

Utagundua akili zimegawanyika ndo maana tunasema hakuna kipimo kimoja cha kupima akili ya mtu. Ukiwachukua nyani na samaki ukawashindanisha kuogelea ili upate kujua kati yao nani ana akili za kuogelea. Samaki atashinda.

Ukiwachukua ukawapa mtihani wa kupanda miti...nyani atashinda.

Lionel Messi unaweza kuta alikuwa mbovu sana darasani... Lakini uwanjani? So ana akili ya uwanjani. Marijani Rajabu unaweza kuta darasani alikuwa mbovu tu lakini angalia nyimbo anazotunga....

Nashukuru mkuu una uelewa Mkubwa. Ni kuwasaidia hawa madogo. Mimi nakumbuka nlikuwa namkimbiza jamaa flani shule kwenye somo la kiingereza na kiswahili. But kwenye hesabu,physics na chemistry alikuwa ananichana vibaya sana. Leo hii yupo TRA. Mpaka leo si mzuri sana kwenye kujieleza.
 
Kweli kabisa mkuu. Tatizo la baadhi ya members ni kuwa akizidiwa na hoja kidogo anakimbilia matusi na kejeli. Mbaya sana hii.
 
Hapana,kingereza anajua bwanako aliyekujaza mimba
Unatumia ID yenye jina la Kinyakyusa na nimeambiwa maana yake kwa kiswahili.
1. Sijawahi ona Wanyakyusa wenye akili za hovyo kama yako. Wanyakyusa nmesoma nao na kufanya kazi wapo very smart upstairs.

2. Unapenda kuonekana unautetea uislamu lakini sioni kama una uislamu hata kidogo. Yaani una UKAFIR mwingi sana. SANA. kuliko kuwa Dini yoyote. Si Ukristo,si Uislamu na wala si Dini za Jadi.
 
Ukiona mtu anaandika sana. Plus kutusi watu. Fahamu upo uwezekano ana msongo mkubwa wa mawazo. Na upo uwezekano ana severe depression.
 
Yaani gesi iende kenya wakati hapa nyumbani inapatikana kwa shida hivyo.Bei juu then mnapeleka kenya.Hii nchi imekuwa ya kisengerema sana
Unataka lijengwe Bomba kusafirisha Gesi hadi huko kwenu juu ya mlima matogoro wakati hakuna wa Teja wakuitumia?
Wacha iende Kenya kwanza ambako Kuna watumiaji.
 
Unatumia ID yenye jina la Kinyakyusa na nimeambiwa maana yake kwa kiswahili.
1. Sijawahi ona Wanyakyusa wenye akili za hovyo kama yako. Wanyakyusa nmesoma nao na kufanya kazi wapo very smart upstairs.

2. Unapenda kuonekana unautetea uislamu lakini sioni kama una uislamu hata kidogo. Yaani una UKAFIR mwingi sana. SANA. kuliko kuwa Dini yoyote. Si Ukristo,si Uislamu na wala si Dini za Jadi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sijui kwanini watu hiyo dini wana upumbavu mwingi namna hii
 
Kenya kujenga bomba toka mtwara hadi Kenya na kuitawanya nchini kwao ni rahisi KULIKO Tz. kusambaza hiyo gesi hata robo ya wilaya ya TMK
 
Sio Kingereza ni Kiingereza, hata PUTIN hajui Kiingereza au sio ! !Magu alikuwa mbele ya muda uliopo mzee hata mipaka 10 hujavuka mwenzio kafanya Thesis Uingereza zaidi ya mwaka, EMANCIPATE YOURSELF FROM MENTAL SLAVERY NONE BUT OURSELVES CAN FREE OUR MINDS
Putin naye alisoma masomo yake kwa kingereza?

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom