Day 1 gongs JF-Expert Member Joined Oct 5, 2022 Posts 392 Reaction score 758 Dec 11, 2023 #1 Huku kuwachokoza Wana jumuiya ya Afrika mashariki, “Mmesikia kuhusu safari zangu za kwenda maeneo mbalimbali Nje ya Nchi mara kwa mara. Ninasafiri kwa Mipango, Mimi sio Mtalii” William Ruto
Huku kuwachokoza Wana jumuiya ya Afrika mashariki, “Mmesikia kuhusu safari zangu za kwenda maeneo mbalimbali Nje ya Nchi mara kwa mara. Ninasafiri kwa Mipango, Mimi sio Mtalii” William Ruto
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 69,329 Reaction score 164,730 Dec 11, 2023 #2 Yuko sshihi. Rais kwenda nchi za Uarabu ni sawa na utalii, mwarabu kamwe hawezi kukuinua kimaendeleo zaidi atakomba rasilimali zako. Rais Samia na Mwinyi ufike wakati sasa waone haya kuzurura uarabuni kila uchao.
Yuko sshihi. Rais kwenda nchi za Uarabu ni sawa na utalii, mwarabu kamwe hawezi kukuinua kimaendeleo zaidi atakomba rasilimali zako. Rais Samia na Mwinyi ufike wakati sasa waone haya kuzurura uarabuni kila uchao.
W WALOLA VUNZYA JF-Expert Member Joined Nov 20, 2020 Posts 7,154 Reaction score 7,155 Dec 11, 2023 #3 Day 1 gongs said: Huku kuwachokoza Wana jumuiya ya Afrika mashariki, “Mmesikia kuhusu safari zangu za kwenda maeneo mbalimbali Nje ya Nchi mara kwa mara. Ninasafiri kwa Mipango, Mimi sio Mtalii” William Ruto Click to expand... Rais mpumbavu kuwahi kutokea.
Day 1 gongs said: Huku kuwachokoza Wana jumuiya ya Afrika mashariki, “Mmesikia kuhusu safari zangu za kwenda maeneo mbalimbali Nje ya Nchi mara kwa mara. Ninasafiri kwa Mipango, Mimi sio Mtalii” William Ruto Click to expand... Rais mpumbavu kuwahi kutokea.
kipara kipya JF-Expert Member Joined May 2, 2016 Posts 18,833 Reaction score 23,276 Dec 11, 2023 #4 Glenn said: Yuko sshihi. Rais kwenda nchi za Uarabu ni sawa na utalii, mwarabu kamwe hawezi kukuinua kimaendeleo zaidi atakomba rasilimali zako. Rais Samia na Mwinyi ufike wakati sasa waone haya kuzurura uarabuni kila uchao. Click to expand... Mwarabu wanatoa mikopo bila riba!
Glenn said: Yuko sshihi. Rais kwenda nchi za Uarabu ni sawa na utalii, mwarabu kamwe hawezi kukuinua kimaendeleo zaidi atakomba rasilimali zako. Rais Samia na Mwinyi ufike wakati sasa waone haya kuzurura uarabuni kila uchao. Click to expand... Mwarabu wanatoa mikopo bila riba!
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 69,329 Reaction score 164,730 Dec 11, 2023 #5 kipara kipya said: Mwarabu wanatoa mikopo bila riba! Click to expand... Hahaha
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 301,221 Reaction score 1,172,274 Dec 11, 2023 #6 Mipasho