Rais Ruto yumo katika hatari ya kujichafua akikubali shinikizo la vikaragosi wake kuondondoa vipindi vya urais.
View attachment 2411219
Pendekezo la mbunge wa UDA la kubadilishwa kwa Katiba ili kuondoa vipindi viwili vya urais linamwekea mtego Rais Ruto wa kuingia katika orodha ya marais wa Afrika ambao wamekatalia madarakani.
Ingawa UDA imejitenga na pendekezo hilo, wadadisi wanasema uwezekano huo upo.