Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Kwani Katiba Mpya haijawasaidia? 😁😁😁Well…well…well!
It’s deja vu all over again 🤣.
This time it didn’t take that long [although some of us expected it to come to pass at some point].
Majirani zetu wameshaanza kufanyiana figisu.
Rais Ruto na Makamu wake tayari washaanza kuvurugana na kurushiana vijembe.
Wapambe wao nao vivyo hivyo.
Naona wanarudi kule kule kama ilivyokuwa kati ya Kenyata na Ruto.
View: https://youtu.be/KWVin5633iA?si=uNKQlt5JowSOjXyz
Katiba mpya haihusiani chochote na watu wawili kutokuelewana.Kwani Katiba Mpya haijawasaidia? 😁😁😁
Chadema naomba jibu
Wewe nafikiri ukigombana na mmeo utaisingizia katiba.Kwani Katiba Mpya haijawasaidia? 😁😁😁
Chadema naomba jibu
🤣Wewe nafikiri ukigombana na mmeo utaisingizia katiba.
Katiba na kutokuelewana kunaingiaje?.Kwani Katiba Mpya haijawasaidia? 😁😁😁
Chadema naomba jibu
Kwa nini wasielewane wakati Kila mtu ana majukumu yake Kwa mujibu wa Katiba Yao Mpya 🤣🤣Katiba na kutokuelewana kunaingiaje?.
Kwa nini?Wewe nafikiri ukigombana na mmeo utaisingizia katiba.
Nadhani tatizo la kwanza ni power ya Rais na Naibu Rais.Well…well…well!
It’s deja vu all over again 🤣.
This time it didn’t take that long [although some of us expected it to come to pass at some point].
Majirani zetu wameshaanza kufanyiana figisu.
Rais Ruto na Makamu wake tayari washaanza kuvurugana na kurushiana vijembe.
Wapambe wao nao vivyo hivyo.
Naona wanarudi kule kule kama ilivyokuwa kati ya Kenyata na Ruto.
Nadhani tatizo la kwanza ni power ya Rais na Naibu Rais.
Nafikiri ipo tofauti ya power ya Deputy na Vice.
Huku Tanzania tuna Vice President sawa na USA.Power ya Vice President ni ndogo ukilinganisha na Power ya Deputy President .
Kama Kenya wangekuwa na Vice President ambaye kazi yake kubwa ni ufunguzi wa mikutano na majengo.
Soma hapa Cheo cha 'Naibu Rais' chaendelea kuwatesa Wakenya. Inasemekana Rais Ruto hapatani na Naibu wakeWell…well…well!
It’s deja vu all over again 🤣.
This time it didn’t take that long [although some of us expected it to come to pass at some point].
Majirani zetu wameshaanza kufanyiana figisu.
Rais Ruto na Makamu wake tayari washaanza kuvurugana na kurushiana vijembe.
Wapambe wao nao vivyo hivyo.
Naona wanarudi kule kule kama ilivyokuwa kati ya Kenyata na Ruto.
There can't be two centres of power!Well…well…well!