Rais Ruto na makamu wake washaanza kutofautiana!

Kwani Katiba Mpya haijawasaidia? 😁😁😁

Chadema naomba jibu
Sisi watanzania kuna baadhi tuna akili fupi sana. Katiba haijawasaidia wakenya? Ulifuatilia chaguzi mbili zilizopita? Kama siyo uzuri wa katiba yao huoni kungeweza kutokea machafuko mabaya sana? Huoni hiyo katiba ndiyo inawapa uhuru wa kutofautiana kimawazo bila kuumizana jambo ambalo ni muhimu sana kwenye demokrasia? Ndugai alipotoa mawazo yake kuhusu mikopo Samia alimfanya nini? Tungekuwa na katiba nzuri angekuwa na nguvu ya kumwondoa ili pate nafasi ya kuuza bandari?
 
Well…well…well!

It’s deja vu all over again 🤣.

This time it didn’t take that long [although some of us expected it to come to pass at some point].

Majirani zetu wameshaanza kufanyiana figisu.

Rais Ruto na Makamu wake tayari washaanza kuvurugana na kurushiana vijembe.

Wapambe wao nao vivyo hivyo.

Naona wanarudi kule kule kama ilivyokuwa kati ya Kenyata na Ruto.

Kwani uchaguzi upo jirani nao wanazingua!
 
UONGOZI KATIKA NCHI ZA AFRIKA BADO NI CHANGAMOTO KUBWA SANA

#ROCKERFELLER
 
Sisi watanzania kuna baadhi tuna akili fupi sana. Katiba haijawasaidia wakenya? Ulifuatilia chaguzi mbili zilizopita? Kama siyo uzuri wa katiba yao huoni kungeweza kutokea machafuko mabaya sana? Huoni hiyo katiba ndiyo inawapa uhuru wa kutofautiana kimawazo bila kuumizana jambo ambalo ni muhimu sana kwenye demokrasia? Ndugai alipotoa mawazo yake kuhusu mikopo Samia alimfanya nini? Tungekuwa na katiba nzuri angekuwa na nguvu ya kumwondoa ili pate nafasi ya kuuza bandari?
Serious unam miss Job Ndugai? Huyu huyu aliyehusika na kudogosha bunge letu kwa kumtetemekea Magufuli?
 
Sijasema nimem miss au ni kiongozi mzuri. Nimezungumzia alivyofanyiwa.
Sasa kama anaweza kutuletea wabunge 19 bila utaratibu kwa nini umuonee huruma? Au huelewi maana ya KARMA!!

Muache Ndugai atumikie madhambi yake
 
Uko wrong vibaya sana. Uki set pecedence kwenye kanuni kama hii itakurudia. Atakuja spika mzuri na ataondolea kwa kusema ukweli kwa sababu tu wezi hawataki.
 
Subiri kwanza huyo Spika Mzuri aje. Ni bahati mbaya tu Job Ndugai alifika nafasi ya kuwa Spika. Lakini kwa tuliowahi kuwa karibu naye, Ndugai ni kiazi tu
 
Well…well…well!

It’s deja vu all over again 🤣.

This time it didn’t take that long [although some of us expected it to come to pass at some point].

Majirani zetu wameshaanza kufanyiana figisu.

Rais Ruto na Makamu wake tayari washaanza kuvurugana na kurushiana vijembe.

Wapambe wao nao vivyo hivyo.

Naona wanarudi kule kule kama ilivyokuwa kati ya Kenyata na Ruto.

What goes around comes around!
 
Back
Top Bottom