johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
umekunywa nini mapema hii wewe?Mungu wa mbinguni ni mwema wakati wote Kwani anatuletea mifano ya wazi ya kule kunakopigiwa kama mfano bora wa Katiba mpya na Chadema
Pamoja na Katiba mpya lakini Rais wao anasema enough is enough
Kwako Lucas Mwashambwa š„·Subaru
Unajua maana ya looters and criminalsUnaweza kusema kuwa Sasa ni maji ya shingo kwa wakenya.
Kiongozi mkuu wa nchi hiyo ambaye ni jemedali wa majeshi ya nchi hiyo ameruhusu Sasa waandamanaji wapigwe risasi na polisi sehemu za MIGUU ili wawavunje kabisa wawe vilema.
Hii ni hatua ya mwisho kuelekea kwenye anguko kuu la utawala wa kiongozi yoyote hapa duniani.
Hatari. Risasi ya mguu lazima ufe kwa bleedingUnaweza kusema kuwa Sasa ni maji ya shingo kwa wakenya.
Kiongozi mkuu wa nchi hiyo ambaye ni jemedali wa majeshi ya nchi hiyo ameruhusu Sasa waandamanaji wapigwe risasi na polisi sehemu za MIGUU ili wawavunje kabisa wawe vilema.
Hii ni hatua ya mwisho kuelekea kwenye anguko kuu la utawala wa kiongozi yoyote hapa duniani.
Hilo swala hatamimi nilishaliongelea kwenye huu uziAngekuwa njia panda kama hao waandamanaji wangekuwa na Kiongozi na Lengo ila siyo kwenda tu kukimbizana na Polisi,,,
Ruto a.k.a Kasongo na MamaSamia2025 ni waroho wa damu za watu wasio na hatiaUnaweza kusema kuwa Sasa ni maji ya shingo kwa wakenya.
Kiongozi mkuu wa nchi hiyo ambaye ni jemedali wa majeshi ya nchi hiyo ameruhusu Sasa waandamanaji wapigwe risasi na polisi sehemu za MIGUU ili wawavunje kabisa wawe vilema.
Hii ni hatua ya mwisho kuelekea kwenye anguko kuu la utawala wa kiongozi yoyote hapa duniani.
We ni mkenya? Au unawashwa na pilipili usisozila. Wale wavuta bangi hawajitambui wataendelea kufa km kuku wenye kideri mpk waache bangi.Unaweza kusema kuwa Sasa ni maji ya shingo kwa wakenya.
Kiongozi mkuu wa nchi hiyo ambaye ni jemedali wa majeshi ya nchi hiyo ameruhusu Sasa waandamanaji wapigwe risasi na polisi sehemu za MIGUU ili wawavunje kabisa wawe vilema.
Hii ni hatua ya mwisho kuelekea kwenye anguko kuu la utawala wa kiongozi yoyote hapa duniani.
Kufa unaweza usife ila Cha moto utakionaa.....Hatari. Risasi ya mguu lazima ufe kwa bleeding
So sadUnaweza kusema kuwa Sasa ni maji ya shingo kwa wakenya.
Kiongozi mkuu wa nchi hiyo ambaye ni jemedali wa majeshi ya nchi hiyo ameruhusu Sasa waandamanaji wapigwe risasi na polisi sehemu za MIGUU ili wawavunje kabisa wawe vilema.
Hii ni hatua ya mwisho kuelekea kwenye anguko kuu la utawala wa kiongozi yoyote hapa duniani
Mbeba maono ama.a kiongozi si ndio yule ameshanunuliwa tayari...saivi Yuko kimya kama maji ya mtungi ...na pengine wao sidhan kama ni wajinga kua hawana kitu kama viongoz wao WA hizo riots mana mara nyingi hao wakijulikana hua wanauawawa ama kununuliwa , Sasa naona lbda wao wameamua waingie front wenyewe wote ..nimewaza tuAngekuwa njia panda kama hao waandamanaji wangekuwa na Kiongozi na Lengo ila siyo kwenda tu kukimbizana na Polisi,,,
Mtoto wa miaka 12 aliyepigwa risasi akiangalia TV naye alikuwa looter?Unajua maana ya looters and criminals