Rais Ruto: Yeyote atakayeshambulia Polisi au kituo cha Polisi atakuwa amepigwa risasi

Rais Ruto: Yeyote atakayeshambulia Polisi au kituo cha Polisi atakuwa amepigwa risasi

Mbeba maono ama.a kiongozi si ndio yule ameshanunuliwa tayari...saivi Yuko kimya kama maji ya mtungi ...na pengine wao sidhan kama ni wajinga kua hawana kitu kama viongoz wao WA hizo riots mana mara nyingi hao wakijulikana hua wanauawawa ama kununuliwa , Sasa naona lbda wao wameamua waingie front wenyewe wote ..nimewaza tu
Kiongozi hajifichagi ukiona anajificha basi ujue hafai kuwa kiongozi., mabadiliko yana-gharama na ni process ya mda mrefu
 
Wakati wa Uhuru Kenyatta nchi ilikuwa poa sana na maendeleo kwa kasi lakini tangu huyu mwehu aingie ni balaa tupu, na Kenyatta aliwaonya wasimchamgue Rutto ingawaje alikuwa vice president wake, ila mwisho wake unakaribia na fight wanayo weka wakenya nawapa heshima zao, future ni nzuri inaonekana
 
EAC imeoza hakuna mtawala mwenye afadhali.
 
Wakati wa Uhuru Kenyatta nchi ilikuwa poa sana na maendeleo kwa kasi lakini tangu huyu mwehu aingie ni balaa tupu, na Kenyatta aliwaonya wasimchamgue Rutto ingawaje alikuwa vice president wake, ila mwisho wake unakaribia na fight wanayo weka wakenya nawapa heshima zao, future ni nzuri inaonekana
Vibaka wanapora wanapigwa risasi, unamlaumu Ruto kisa nini?

Uhuru Kenyatta hakuua waharifu?
 
Yupo sawa kabisa
Wakenya hawaeleweki wataka nini ,kila demand rais katimiza ila kutwa kukimbizana na polisi mitaani na kuharibu biashara za watu .
Naogopa sana kinachoendelea kenya kitafanya Tanzania tusifikie demokrasia ya kweli
 
Unaweza kusema kuwa Sasa ni maji ya shingo kwa wakenya

Kiongozi mkuu wa nchi hiyo ambaye ni jemedali wa majeshi ya nchi hiyo ameruhusu Sasa waandamanaji wapigwe risasi na polisi sehemu za MIGUU ili wawavunje kabisa wawe vilema

Hii ni hatua ya mwisho kuelekea kwenye anguko kuu la utawala wa kiongozi yoyote hapa duniani

Naye kaanza kuchanganyikiwa
 
Hata hivyo amechelewa!
Kwa ajili ya usalama wa nchi yuko sahihi kuchukua hatua hizo!
Vinginevyo nchi inaweza kuharibika kabisa.
Tena kufikia hapo ni vike tu Ruto alishawahi kushitakiwa pale ICC
 
1000112261.jpg
 
Back
Top Bottom