Wanaongozwa na hisia sana kuliko logic, niliona bora Morara alipoanzisha chama chake na Kasmuel kuingia ODM kwasababu movement za Genz zilikuwa haziwapeleki popote kisiasa. Wao wako na Ruto wanasahau wabunge, magavana n.kKila anaekaa front wanamuona mtu wa system .
Angalia mfano Morara kebaso,kasmuel na omtata.
Sasahivi wako na maraga wanasema ndio wanamtaka 2027 soon nae watamtupa
Nchi ikiwa na wasomi wengi haya ndiyo matokeo yake.Kila anaekaa front wanamuona mtu wa system .
Angalia mfano Morara kebaso,kasmuel na omtata.
Sasahivi wako na maraga wanasema ndio wanamtaka 2027 soon nae watamtupa
Lumumba mkiona hii mnatetemekaKasongo banayeyee mongalibara oooh 😂😂
Hii sio kenya acha uongo na upotoshaji
Sasa kiongozi hajulikana ila Lengo pia halieleweki..Mbeba maono ama.a kiongozi si ndio yule ameshanunuliwa tayari...saivi Yuko kimya kama maji ya mtungi ...na pengine wao sidhan kama ni wajinga kua hawana kitu kama viongoz wao WA hizo riots mana mara nyingi hao wakijulikana hua wanauawawa ama kununuliwa , Sasa naona lbda wao wameamua waingie front wenyewe wote ..nimewaza tu
Gachagua kwa sasa yupo Meru anatafuna kahawa tuAnguko la Kasongo linaenda kutimia.
Kwa Kenya inawezekana Kasongo asifike huko 2027 maana wapinzani hawataniiSasa kiongozi hajulikana ila Lengo pia halieleweki..
Sasa wanaandamana kumwonyesha Kasongo wamemchoka kwamba 2027 hawamtomchagua au wanataka wamwondoe sasa?
Fight wanafanya sawa,wanafanya fight kuhusu nini?,hawana ajenda maalum ya wanachokilalamikiaWakati wa Uhuru Kenyatta nchi ilikuwa poa sana na maendeleo kwa kasi lakini tangu huyu mwehu aingie ni balaa tupu, na Kenyatta aliwaonya wasimchamgue Rutto ingawaje alikuwa vice president wake, ila mwisho wake unakaribia na fight wanayo weka wakenya nawapa heshima zao, future ni nzuri inaonekana
Hakuna kitu kama hichoAnguko la Kasongo linaenda kutimia.
Uwa wote Mungu atawachagua walio wakeUnaweza kusema kuwa Sasa ni maji ya shingo kwa wakenya
Kiongozi mkuu wa nchi hiyo ambaye ni jemedali wa majeshi ya nchi hiyo ameruhusu Sasa waandamanaji wapigwe risasi na polisi sehemu za MIGUU ili wawavunje kabisa wawe vilema
Hii ni hatua ya mwisho kuelekea kwenye anguko kuu la utawala wa kiongozi yoyote hapa duniani
Source: buzzroomkenya
Much know au sio?? 😂Hakuna kitu kama hicho
Naona unaliaHii sio kenya acha uongo na upotoshaji
Mungu ndiye kila kitu kwenye maisha ya mwanadamuUwa wote Mungu atawachagua walio wake
27 mbali sana, huyu mzee December anaweza asile birihani na mvinyo ikulu!Kwa Kenya inawezekana Kasongo asifike huko 2027 maana wapinzani hawatanii
Huu unafiki wako umezidi na kupitiliza mno! Unajisikiaje kuwa na nafsi iliyojaa ubinafsi, uchoyo na roho mbaya hivi? Huenda Mungu alizishusha torati kwa akili yako japo nazo unazikanyaga!Mungu wa mbinguni ni mwema wakati wote Kwani anatuletea mifano ya wazi ya kule kunakopigiwa kama mfano bora wa Katiba mpya na Chadema
Pamoja na Katiba mpya lakini Rais wao anasema enough is enough
Kwako Lucas Mwashambwa 🥷Subaru