Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Kiongozi hajifichagi ukiona anajificha basi ujue hafai kuwa kiongozi., mabadiliko yana-gharama na ni process ya mda mrefuMbeba maono ama.a kiongozi si ndio yule ameshanunuliwa tayari...saivi Yuko kimya kama maji ya mtungi ...na pengine wao sidhan kama ni wajinga kua hawana kitu kama viongoz wao WA hizo riots mana mara nyingi hao wakijulikana hua wanauawawa ama kununuliwa , Sasa naona lbda wao wameamua waingie front wenyewe wote ..nimewaza tu
Angalia maduka yalivyobomolewa na kuibiwa watu kama hao wanaachwajeMtoto wa miaka 12 aliyepigwa risasi akiangalia TV naye alikuwa looter?
Walianza kwa kujiita leaderless, na hii imewagarimu kila anayetaka kuwa mbele wanamkataaAngekuwa njia panda kama hao waandamanaji wangekuwa na Kiongozi na Lengo ila siyo kwenda tu kukimbizana na Polisi,,,
Vibaka wanapora wanapigwa risasi, unamlaumu Ruto kisa nini?Wakati wa Uhuru Kenyatta nchi ilikuwa poa sana na maendeleo kwa kasi lakini tangu huyu mwehu aingie ni balaa tupu, na Kenyatta aliwaonya wasimchamgue Rutto ingawaje alikuwa vice president wake, ila mwisho wake unakaribia na fight wanayo weka wakenya nawapa heshima zao, future ni nzuri inaonekana
Kasongo banayeyee mongalibara oooh 😂😂Kwisha habari yake.
Kila anaekaa front wanamuona mtu wa system .Walianza kwa kujiita leaderless, na hii imewagarimu kila anayetaka kuwa mbele wanamkataa
Naona wanataka kumuondoa Ruto kiainaNawaamuru akina Martha Karua Na wenzake waingilie kati suala hili na kulitatua
Nia yao siyo mzuri kwa SamoiKalua na Mwangi wanasemaje ?
Naye kaanza kuchanganyikiwaUnaweza kusema kuwa Sasa ni maji ya shingo kwa wakenya
Kiongozi mkuu wa nchi hiyo ambaye ni jemedali wa majeshi ya nchi hiyo ameruhusu Sasa waandamanaji wapigwe risasi na polisi sehemu za MIGUU ili wawavunje kabisa wawe vilema
Hii ni hatua ya mwisho kuelekea kwenye anguko kuu la utawala wa kiongozi yoyote hapa duniani
Tena kufikia hapo ni vike tu Ruto alishawahi kushitakiwa pale ICCHata hivyo amechelewa!
Kwa ajili ya usalama wa nchi yuko sahihi kuchukua hatua hizo!
Vinginevyo nchi inaweza kuharibika kabisa.
Kaka ule moto siyo wa kawaida kama kichwa chako ni kidogo lazima utoke nduki.Naye kaanza kuchanganyikiwa
Ndiyo hasara za maandamano