Rais Ruto: Yeyote atakayeshambulia Polisi au kituo cha Polisi atakuwa amepigwa risasi

Kila anaekaa front wanamuona mtu wa system .
Angalia mfano Morara kebaso,kasmuel na omtata.
Sasahivi wako na maraga wanasema ndio wanamtaka 2027 soon nae watamtupa
Wanaongozwa na hisia sana kuliko logic, niliona bora Morara alipoanzisha chama chake na Kasmuel kuingia ODM kwasababu movement za Genz zilikuwa haziwapeleki popote kisiasa. Wao wako na Ruto wanasahau wabunge, magavana n.k
 
Kila anaekaa front wanamuona mtu wa system .
Angalia mfano Morara kebaso,kasmuel na omtata.
Sasahivi wako na maraga wanasema ndio wanamtaka 2027 soon nae watamtupa
Nchi ikiwa na wasomi wengi haya ndiyo matokeo yake.
 
Sasa kiongozi hajulikana ila Lengo pia halieleweki..
Sasa wanaandamana kumwonyesha Kasongo wamemchoka kwamba 2027 hawamtomchagua au wanataka wamwondoe sasa?
 
Sasa kiongozi hajulikana ila Lengo pia halieleweki..
Sasa wanaandamana kumwonyesha Kasongo wamemchoka kwamba 2027 hawamtomchagua au wanataka wamwondoe sasa?
Kwa Kenya inawezekana Kasongo asifike huko 2027 maana wapinzani hawatanii
 
Fight wanafanya sawa,wanafanya fight kuhusu nini?,hawana ajenda maalum ya wanachokilalamikia

Atleast wangekuwa na uongozi rasmi. Kama agenda ya kumtoa rais basi inabidi iwe ya watu wote nchini siyo Gen Z peke yao.
Yote kwa yote Africa kumtoa rais kwa maandamano peke yake ni bado sana.
 
The youth have on many occasions been referred to as the custodians of the future and the leaders of tomorrow. However, not many young people in this generation fully apprehend the weight of the challenge they’ve been charged with. What’s the role of the youth as far as the pan-African movement is concerned? According to PLO Lumumba, the youth bulge can be a source of great prosperity or great insecurity.

Vice versa global
 
Uwa wote Mungu atawachagua walio wake
 
Chadema ndoto yao ni kuifanya Tz iwe kama Kenya sahivi
 
Mungu wa mbinguni ni mwema wakati wote Kwani anatuletea mifano ya wazi ya kule kunakopigiwa kama mfano bora wa Katiba mpya na Chadema

Pamoja na Katiba mpya lakini Rais wao anasema enough is enough

Kwako Lucas Mwashambwa 🥷Subaru
Huu unafiki wako umezidi na kupitiliza mno! Unajisikiaje kuwa na nafsi iliyojaa ubinafsi, uchoyo na roho mbaya hivi? Huenda Mungu alizishusha torati kwa akili yako japo nazo unazikanyaga!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…